Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

HAWA NDO WASANII WAWILI WA BONGO, WANAOSHEREKEA SIKU YAO YA KUZALIWA LEO

$
0
0

LEO MASTAR WAWILI WANASHEREHEKEA SIKU YAO YA KUZALIWA PAMOJA. MASTAR HAWA WOTE WANA VIPAJI ZAIDI YA KIMOJA. WA KWANZA NI NISHER BYBEE KAMA MWENYEWE ANAVYOJIITA. HUYU JAMAA NI PRODUCER NA PIA NI MSANII. NA KATIKA KUONYESHA LOVE KWA FANS WAKE KATOA WIMBO MPYA SIKU YA LEO. UNAWEZA KUUSIKILIZA HAPA NA PIA KUUDOWNLOAD KAMA UTAPENDA.
WA PILI NI JAMAA MCHEKESHAJI WA KUNDI LA VITUKO SHOW, PIA HIYU JAMAA NI MSANII WA BONGO FLAVA. KWA SASA ANA NYIMBO MBILI. HII YA PILI NI NOMA SANA KWANI NDANI YUMO MASAI MWENYEWE AKIWASHIRIKISHA RICH MAVOKO NA KITOKOLO. ISIKILIZW HAPA

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles