Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

INAVYOSEMEKANA HUYU NDO MCHUMBA WA MWASITI, NI MTANGAZAJI KUTOKA EATV!!!!!

$
0
0
http://4.bp.blogspot.com/-gfyu9c2cEvY/T0uylaC8-iI/AAAAAAAAAIQ/6Ty6awwfsUo/s1600/mwasiti.jpg
Nina nukuu " baby ake mtu @mwasiti limao nasiki HUYO mwanamuziki wenu wakuitwa mwasiti hazikabi mapenzini na huyu @sammisago, ni ubuyu tu..wamekaa miaka miwili sasa na zaidi na wakati wa basidei ya huyu kaka mwaka huu mama wenu wa serebuka alimshushia bonge la pati huyu mr fridei naiti, hehhehehhehehe halafu wale wanamuziki wa dutigita wakamwimbia hapi basidei shemej , ubuyu huo huyu nyepesi (zitto kaguswa hapo) wala hatoki na huyo mwasiti ila babaa sam misago ndo anataka kuoa kabisa, jamaa kashikwa kashikika......mwisho wa lmao

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles