Mwana FA, AY na Ali Kiba wameingia studio kupika kitu kipya. Wote kwa
pamoja wameshare picha zao kwenye Instagram wakiwa ndani ya studio za
MJ Records ambapo Kiba ameandika: @Aytanzania&007#mj record #wait
for it bonge ya wimbo.
![2391ad0c9b3e11e39f2b123e1e37c1b3_8]()
Naye Mwana FA ameandika: Kazini last night…ndio maana nimechelewa kuamka leo..kuna Tatizo?#keepingthegudmusicalive.
![52cff45e9df811e383fb12563aa987f1_8]()


