Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

KESI YA MGANGA WA KIENYEJI DHIDI YA AT YASOMWA KWA MARA YA KWANZA

$
0
0


Ile kesi ya madai iliyofunguliwa mwezi uliopita na mganga wa jadi dhidi ya AT msanii wa muziki wa kizazi kipya, leo ndo ilikua tarehe yake katika mahamaka ya mwanzo Buguruni, asubuhi AT alifika mahakamani mapema na ilipofika zamu yake akaitwa na na kusomewa shitaka, na AT alikanusha, kesi imeahirishwa mpaka tarehe 2 mwezi wa nne, ambapo mdai ambaye ni mganga dr sherif ametakiwa kwenda na vielelezo vyote kuthibitisha madai hayo,

Ktk kesi hiyo dr sherif anadai kuwa kati ya mwaka 2010 na mwaka 2013 alimtibia at, na msanii huyo hakulipa bill.

Matibabu hayo ni pamoja na kuinua nyota yake, kumpatia tuzo ya kili mwaka 2013, na mengineyo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles