Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

VIDEO..HAYA NDIO MAISHA BANA...JIONEE KUFURU YA CHRISTIANO RONALDO KATIKA UMILIKI WA MAGARI MAKALI..!

$
0
0
Staa wa soka Cristiano Ronaldo mwenye umri wa miaka 29 ametajwa kwenye list ya mastaa kumi wa soka wenye pesa nyingi ambapo yeye ndio kashika nafasi ya kwanza, akifata Messi na kisha Samuel Eto’o.

Hii hapa chini ni collection ya magari matano ya Cristiano Ronaldo mwaka 2012 kwa mujibu wa Trace TV. -

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles