Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

DIVA WA CLOUDS: NAMPENDA SANA LULU, NINGEKUWA MWANAUME NINGE..... SOMA HAPA

$
0
0
Mwanadada Loveness aka Diva the Boss mtangazaji wa clouds fm kipindi cha ala za roho, kinachozungumzia maswala ya mapenzi na mahusiano…..Jana usiku alijikuta akielezea hisia zake kwa Muigizaji  Elizabeth Michel aka Lulu “Kutoka moyoni nampenda sana huyu binti, ningekuwa mwanaume ningemfuata na kumu approach, sema mimi  ni mwanamke tu”.
Hii ilikuwa kabla ya kucheza wimbo wa atatamani ambayo ni version  ilioimbwa Lulu. Wimbo halisi uliimbwa   na Linnah msanii kutoka THT

Back in days .Diva kupitia account yake ya instagram aliwahi kupost picha hii ambayo ilizua utata….sasa baada ya kumsikia  nikashindwa kumuelewa…Jionee mwenyewe…then achia comment!

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles