Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

KUA WA KWANZA KUTAZAMA PICHA ZA MKE MTARAJIWA WA HEMED PHD HAPA.

$
0
0
http://4.bp.blogspot.com/-6m9UiuqlRuI/UnTtmsrY0uI/AAAAAAAAKJU/TR7FKzjy8jI/s1600/hemedi_suleiman_07.jpg
 Siku chache zilizopita tulikupa story kuhusu msanii Hemed Phd kuachana na ubachela na kuamua kuanz kufanya maandalizi ya ndoa na mchumba wake. Kama hukuisoma hyo story bofya >>>hapa<<< Sasa katika harakati zetu za kutafuta ukweli tukapata fununu kua mrembo huyu hapo chini ndo atakuja kua shemu wetu kwa Hemed. Vyanzo vyetu vilieleza kua ni kweli maandalizi ya ndoa yanaenda poa kabisa. Na siku si nyingi watu watakula wali.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles