![]() |
Batuli |
Baada ya kurushiwa habari hizo ilibidi kumtafuta Batuli ambaye anatamba katika filamu, Batuli alikubali kuwa hayuko kweney maelewano mazuri na Steve huku akidai Steve ndiye chanzo cha bifu aliloliita la kijinga.
"Ni kweli mimi na Steve Nyerere hatuna maelewano mazuri kwa sasa kiisa ni cha kijinga sana, Steve alinipigia simu akinipa taarifa ya kuwa kanipanga kwenye movie yake ambayo kawashirikisha Bongo movie wengi sana, ambapo alidai ya kuwa hata malipo atayafanya baada ya kuuza movie hiyo nikakubali kwa sababu kwanza ni msanii mwenzangu, pili movie ndio kazi yangu, basi baada ya siku kadhaa Steve akanipigia simu akaniambia niende nika-shoot nakumbuka ilikuwa mchana nikashangaa sana kwa sababu kabla mtu haja-shoot huwa kuna maandalizi ambayo mhusika anatakiwa kuyafanya ambayo ni kwanza aijue story ya movie anayoenda kuicheza, baada ya kuijua story anaenda kuandaa nguo, viatu na vinginevyo vinavyotakiwa kutokana na story au script inavyosema"
Star huyo anayesika kwa urembo aliendelea kwa kusema "Nikamuuliza Steve mbona bofya <<<<hapa>>>>>kumalizia kusoma story hii.