BABA wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Abdul Jumaa
amefunguka kuwa mwanaye huyo siyo riziki yake kwani hana dalili zozote
za kumjali kama mzazi.
Akistorisha na gazeti hili, mzee huyo alisema kwa sasa hataki kumzungumzia kabisa Diamond kwa sababu alishamtumia ujumbe kwamba anatakiwa kubaki kama baba tu na si vinginevyo.
“Sitaki kumzungumzia Diamond kabisa kwa sababu nitaonekana najipendekeza kwake kwa sababu ameshasema nibaki kama baba tu, naona siyo riziki yangu,” alisema baba Diamond.
Alipoulizwa Diamond kuhusiana na maelewano hafifu na baba yake, alijibu: “no comment.”