Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

LULU AANDIKA UJUMBE KUHUSU KANUMBA LEO (APRIL 7) IKIWA NI SIKU YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHAKE

$
0
0
Leo (April 7) aliyekuwa muigizaji wa Bongo movie marehemu Steven Kanumba anatimiza miaka miwili tangu afariki dunia. Aliyekuwa mpenzi wake Elizabeth Michael aka Lulu ameandika ujumbe wa kumkumbuka marehemu Kanumba.
Lulu-331
Hiki ndicho alichokiandika kupitia akaunti yake ya Instagram (@Officiallulumichael):
Bado siamini Kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona wala kukusikia baba…!Ninaamini bdo tupo wote kiroho na Ninaamini zaidi nafsi yako huko ilipo inasimama kunitetea na kunipigania,inaweza kunichukua miaka na miaka kukuelezea….u still liv in me daddy and your dearly missed….R.I.P daddy angu
kanumba

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles