Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

TAZAMA PICHA ZA SHOW ROOM YA MAGARI ILIYOUNGUA, IPO KARIBU NA MLIMANI CITY

$
0
0
 Duka la Magari (showroom) iliyokuwa karibu na eneo la Mlimani City barabara ya Samnujoma jijini Dar es Salaam imeteketea kwa moto na kusababisha hasara ambayo bado haijafahamika, ambapo mpaka sasa chanzo cha moto huo hakijafahamika.
Magari yakiwa yameteketea kwa moto.
Hapa moto ulikuwa ndiyo umeanza kuwaka kabla ya kuanza kuunguza magari. Picha na Othman Michuzi

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles