Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

ALICHOKIFANYA MSANII HUYU WA KENYA BAADA YA KUONA WEMA AKIFANYA YAKE BONGO....

$
0
0


ffg
Baada ya kudhuru Bongo kwa muda kufanya kazi zake za muziki,msanii maarufu kutoka Kenya, Victoria Kimani  naye afwata nyayo za madame Wema Sepetu,nakuamua kuanzisha reality TVshow yake mwenyewe inayofana na InMyShoes ya Wema Sepetu.Reality shows inaonekana kuzidi kufanya vizuri sana hapa Bongo nakufanya wasani kuzidi kujiongezea mashabiki hivyo kazi zao za sanaa kuzidi kuuzika.
The-Rise-Of-The-Queen-Victoria-Kimani-FAB-Magazine
Rise Of The Queen Victoria ndio jina la show hiyo kama ilivyo ile ya In My Shoes inayofanywa na Wema Sepetu,inaelezea maisha yake halisi ya kila siku,matukio yanayotokea katika maisha yake ya kila siku,na mambo mengine mengi.Ni moja kati ya Tvshow mpya zinazotarajia kufanya vizuri huko nchini kenya.

hii ni episode one ya Rise Of The Queen Victoria



Source:VIBE

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles