Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

UJUMBE MZITO WA MANENO ULIKOSEA NJIA KUTOKA KWA AFANDE SELE KWENDA KWA MAMA TUNDA, WAFICHUA MAKUBWA. SOMA HAPA

$
0
0


Gazeti La Makorokocho limefanikiwa kudaka ujumbe mfupi wa maneno kutoka kwa Msanii Mkongwe wa Bongo Flava Afande sele uliokua umekusudiwa kwenda kwa mama watoto wake Bibie Asha a.k.a Mama Tunda waliyeishi kwa zaidi ya miaka 10 ujumbe huo ulipotea njia na kuangukia kwenye Mikono ya Snitch Mzuri wa Makorokocho, katika Ujumbe huo inaonekana Mama Tunda alikua anataka kwenda kwa Afande Sele pamoja na Watoto lakini Afande akawa anamsihi asiende kwa sababu atakua nje ya Mkoa wa Morogoro na Afande akamlaumu mwanadada huyo anayeitwa Asha kuwa amempotezea Muda, Mali na Nguvu zake nyingi sana kwa muda wote walioishi pamoja, Afande akaombwa aachwe alone. -

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles