2014 unaweza kua mwaka mzuri kwa mrembo kabula.Mrembo huyo aliye
panda hewani kama mwenye undugu na Hasheem Thabeet inaelekea kama mwaka
huu utakuwa mzuri sana kwake kwani yale mahusiano yake ya muda mrefu na
mpenzi wake Bishoke sasa ndoa inanukia . Vibe ilipomtafuta hewani
alikiri kiwepo kwa ndoa hiyo na mpaka sasa mipango iko sawa
kabisa”naolewa kwenye mwezi wa saba hivi then tunahamia south ila detail
nitatoa pale tu Bushoke atakapo tua nchini” alisema Kabula. Kabula
alipokua juu sana wakati huo ndani ya tamthilia ya Jumba la dhahabu
aliwahi kupata mtoto mmoja.
![Bushoke-Kabula-vibe-co-tz]()
PROS - VIBE
