Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

BAADA YA WATU KUMSHAMBULIA WEMA INSTAGRAM, WEMA MWENYEWE AFUNGUKA NA KUSEMA HAYA. SOMA HAPA

$
0
0
Wema Sepetu Tena,Inawahusu Waliosema Mabaya Kuhusu Ushindi Wake Wa Sexiest Girl. 
 UNAWEZA SOMA >> YAJUE HAYA MAMBO NANE (8) YA KUFANYA BAADA YA TENDO LA NDOA.

Baada ya Wema Sepetu kushinda Ijumaa Sexiest girl maneno tofauti yanasema kuhusu ushindi huo na fujo alizofanya global, je ilikuwa story ya kutengeneza tu?
Wema ameshindanishwa na mastaa wakubwa Tanzania akiwemo Wolper , Jokate, Lulu, Jackline Wolper na Nelly Kamwelu.
Kupitia Instagram yake Wema ameandika hivi kuhusu baadhi ya comments za watu kuhusu ushindi wake
UNAWEZA SOMA >>> HIZI NDIO MBINU ZA KUMUWEZA, MWANAMKE ALIYE MGUMU KUTONGOZEKA
“If u got it flaunt it….. Ndo nshashinda…. kama hujapenda kasage chupa kunywa…. maana naona sasa its too much khaaaaaaaa….! Ebu mnitue mie mtoto wa watu… And again much love to y’all dat support me… nawapenda sana…. nimemaliza…. Award yangu ndo hiiiiiiiiooooooooo…… next year tusubiri mwingine…. nalala zangu…. tukutane kesho…. najua wengi mnanipenda ni wachache wenye vijiba vyao vya roho…. Wema atabaki kuwa Wema tu… Bhaaaaas….”
UNAWEZA SOMA : ZIJUE SABABU HIZI ZINAZOFANYA WANAWAKE WAVAE NUSU UCHI
wemaaaawema 14

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles