Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

SERENA WILLIAMS AVAMIA HARUSI AKIWA AMEVAA KICHUPI

$
0
0
Hii ni NOUMA sana... mwanadada Serena Williams  kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM ameshare nasi picha ambazo yeye mwenyewe kaziandika kama "Bikini wedding crasher!" na nyingine akaiandika kama "Wedding crasher!! Congrats" akionekana amevalia kingua cha kuogea ....Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita , Meam Beach. ambapo Serena alikuwa aki balizi maeneo ya BICHI ..then Maharusi  walikuwa wakipiga picha ...walivyo muona wakamuita na kupiganaye picha...
Kwa mujibu wa vyombo vya UDAKU inasemakana Serana na maharusi hao walifurahia tukio hilo...



Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles