Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

AGE IS JUST A NUMBER: JAMAA ATHIBITISHA HILO!!!!

$
0
0

Kutoka katika Gazeti la THE MIRROR: Kijana Kyle Jones, 31, kutoka Augusta, Georgia amekuwa na mahusiano ya KIMAPENZI  na wabibi wenye miaka kati ya  71, 63, 61, 52 na 50.
Amekili kuwa na mahusiano na wabibi watano wakati fulani. Ila kwasasa yupo na kwenye mahusiano ya kimapenzi na bibi wa miaka  91 anaeitwa Marjorie McCool ...Duh na  KWICH KWICH kama kawa!!!!!!

Akieleza kwanini anawapenda wazee alisema; "I like the neck lines and wrinkles"
yaani anapenda mikunjo na mistari ya kwenye shingo ya mabibi hao.

Kilicho Niuazaidi  SOMA HAPA


Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles