Muigizaji mkongwe nchini Tanzania Mzee Small aliyefariki juzi usiku
katika hospitali ya taifa Muhimbili atazikwa leo saa kumi katika
makaburi ya Tabata. Muigizaji huyo alitoa mchango mkubwa kwenye sanaa ya
uigizaji nchini kwasababu hata mastaa wa leo hawawezi kuupuzia juhudi
zake katika kuifanya sanaa ya uigizaji ikubalike nchini. Mungu ailaze
roho yake mahali pema peoni. Ameenn