Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

MUENDELEZO: MAHABA NIUE, JAMAA AMEAMUA KUJICHORA TATOO!!!.....JINA LA MAMA LA MAMA

$
0
0
Hii ni muendelezo wa ile ya Ndugu yetu anaeitwa MZIWANDA alie FOLUINILOVE kwa Mama La Mama SHILOLE[SOMA HAPA]....Jamaa amekuwa akitumia ukurasa wake wa INSTAGRAM kuelezea swala zima la mahusiano yake na SHILOLE, kwa mfano hivi karibuni aliweka picha shilole na kuandika hivi;

Ni zaidi ya mpenz huyu mwanamke ,ni jembe langu ,muongozo wangu ,mtani wangu na kila sifa nzur anastahili katotoo kangu,chochote nkimfanyia nafanya kwa mapenzi,na yeye akifanya chochote kwangu anafanya kwa mapenzi.mnaosema huyu kipenZ changu ni jimama mnapoteza time,na mnaosema mm ni serengeti boy kwa huyu kipenZ changu mnafail,ila ni mapenzi tu yanaongea. Na kama jimama anatambulishwag nyumbani basi saaawa. Kilichonipeleka kwake ni mapenzi tu na yeye mapenzi yamemleta kwangu pia.
 SHOCKING!!!

 Leo hii (sasa hivi) kijana ameamua kujichora TATOO na kuandika  SHISHBABY  hii ni aka ya MUPENZI WAKE......hehehehe

Coz nampenda mke wangu nimeamua kuchora jina lake! Ila imeuma kuliko tattoo iliyopita! Siju kwa nn??

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles