Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

EXCLUSIVE VIDEO: WEMA SEPETU AKICHEZA NA KUIMBA NDANI YA GARI....WIMBO WA OMMY DIMPOZ!!

$
0
0
Madame mwenye TEAM kubwa zaidi ya MAFANZI aka TEAMWEMA (Unaweza kuwaita Wapambe, Mashabiki, nk), haipiti siku bila kuokea kwenye magazeti ya UDAKU na blogu kama hii (Kwamazuzi au mabaya), Huyu sio mwingine ni MPENDWA wetu WEMA SEPETU...hahahaaha!!

Kupitia  Ukurasa wake wa INSTAGRAM ameshare nasi Video Clip fupi akiwa ndani ya gari anaimba na kucheza windo wa msanii Ommy Dimpoz....Ndagushima. Hayupo pekeyake yupo na mfanya kazi wake PETIMANI WAKUACHE!!! 

Jionee mwenyewe!!! HAPA





Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles