

Akijibu tuhuma kuwa , yeye anahusika na kuparaganyika kwa ndoa hiyo kufuatia ‘ ku -fall in love’ kwa mume wa Dida, Edzen Jumanne ambaye ni mtangazaji mwenzake, Jokate alisema : ' Dida' akiwa na Ezden . “Yaani watu wanapenda kuungaunga maneno kweli , jamani mimi siwezi hata siku moja kuwa na Edzen , ni mfanyakazi mwenzangu halafu Dida ni mshikaji wangu siwezi kabisa , tena wasitake kunitibulia .”