Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

PICHA ZA WEMA SEPETU, AUNTY EZEKIEL NA MARTIN KADINDA ZATIBUA SWAUMU, CHEKI JAMAA ALIVYOWAFUNGUKIA

$
0
0

OOHOO! Picha ambazo hazijakaa poa katika kipindi hiki cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani za mastaa, Aunt Ezekiel, Wema Sepetu na Martin Kadinda zimetibua swaumu za Waislamu waliofunga.

Picha hizo zinazoonesha ni za kipindi cha Wema cha In My Shoes kinachorushwa kupitia EATV, zinawaonesha sehemu ya juu wakiwa wazi.

“Huyu aliyeachia hizi picha ametutibua sana sisi tuliofunga, alilenga kutuharibia swaumu zetu, haijakaa poa sana,” ilisomeka sehemu ya maoni ya picha hizo kwenye mitandao ya kijamii.

Funny Quote of the Day
If you can't convince them, confuse them.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles