Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

BOB JUNIOR AKUBALI KUTUMIA RANGI ZA KUPAKA MIDOMONI (LIPSTICK)

$
0
0
Kwenye picha mbalimbali za Bob Junior kwa wafatiliaji wamedai kuwa anapaka rangi ya mdomo [Lipstick] Soudy Brown kaongea na Bob Junior na amekubali kusema sababu kubwa ya yeye kupaka rangi hizo za mdomo, Bob Junior Amesema yeye hupaka ili midomo iweze kung'aaa na amesema kuwa hupaka lip shine, na amesema Lips zake ni tamu Balaaaa ...Kazi Kwenu Ladies

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles