![]() |
VJ Penny |
Mtangazaji maarufu nchini VJ Penny ambaye alikuwa mpenzi wa Diamond
Platnumz amechumbiwa !...well kupitia Instagram Penny ameweka picha
akiwa amevaa pete ya uchumba.
Pia juzi swahiliworldplanet ilisikia kuwa penny
amechumbiwa ingawa haikupata habari kwa kina mpaka Penny mwenyewe
alipoweka picha Instagram inayoonyesha ameshachukuliwa tayari ingawa
haijajulikana amechumbiwa na mwanaume gani. Vj Penny ameandika "Road
trip..........site here we come....Cc @HalimaKimwana1"
![]() |
Pete ya VJ Penny |
Kwa upande mwingine nako kunasema kuwa mama Diamond amesema kuwa ni
lazima Diamond amuoe Wema Sepetu. Inadaiwa mama Diamond ameyasema hayo
juzi katika birthday yake ambapo alizawadiwa gari na Diamond ambaye
hakuwepo nchini lakini Wema alikuwepo kwenye shughuli hiyo.
Wema na Diamond
credit : swahili world planet