Mambo yametoka huko INSTAGRAM....Calisah ambaye ni Model aliewhi kushiriki shindano la Mr Tanzania (2013-2014) na kushika nafasi ya 4...ameamua kuweka wazi uhusiano wake wakimapenzi na mwanadada Wolper..japokuwa kwaupande wake Wolper hajasema chochote hadi sasa hivi.
↧