Nikwa mda mlefu sasa nilikuwa nje ya nchi kwa maswala ya Music,ikiwemo
kushiriki utolewaji wa Tuzo za BET zilizofanyika L.A nchini Marekan,na
jana ndiyo siku niliyorudi,kiukweli sikutegemea kukutna na
nilichokikuta,umati mkubwa wa watu wakliokuwa wamejitokeza
kunipokea,kiukweli imenipa faraja sana ,kuona ji kias gani Watanzania
wenzangu ,wamekuwa na uzarendo kwangu kiasi hiki,nawashukuru wote
walioacha kazi zao,ama kuvunja ratiba zao,na kuja airport
kunipokea,Ahsanteni na ninawapenda daima
↧