Kupitia Foundation yake ya RAY C FOUNDATION inayojihusisha na elimu juu ya kupinga matumizi ya madawa ya kulevya, Mwanadada Ray C kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM aliandika hivi:
"Video queen aliecheza kwenye video ya Noorah Ice cream Amerudi katika Hali yake ya kawaida baada ya kuanza Tiba ya Methadone......Nafurahi sana nikiona matunda ya Ray C Foundation..............Keep it up girl!!!Nafurahi kukuona ukiwa na afya njema!!!!!!!Say No to Drugs!"
ALIPOKUA ANATUMIA HAPA VIDEONI