Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

NICK MINAJ AJIANIKA AKIWA NUSU UCHI KATIKA COVER LA WIMBO WAKE MPYA "ANACONDA'. CHEKI HAPA

$
0
0

Nicki Minaj ni miongini mwa wasanii wa kike ambao hupenda kutengeneza attention na kiki kubwa kabla kazi yake kutoka na kuingia mitaani.

 Sasa jipya ni kuhusu cover la wimbo wake mpya “Anaconda”. Picha ya cover hili inamuonyesha Nicki akituonyesha umbolake kwa nyuma huku akiwa amevalia nguo ya ndani aina ya g-string, bra ya michezo na Jordans miguuni.
 
Kazi mpya inatoka Jumanne ya July 28.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles