![]()
Hizi ni SHOT KLIP za video ambazo mastaa wa kike wa hapa bongo
wameziachia huko kwenye mtandao wa INSTAGRAM kwaahili ya ma-Fans wao....
Jokate Mwegelo aka Kidoti, (anaonyesha mashauzi yake nakuzugumza KIZUNGU-Mimi sijui wewe msikilize tu)..
Elizabeth Michael aka Lulu (Huyu mtoto kama kawa anapenda mziki huyo-humu anaimba na kuchezesha kishwa kwa mbwembwe akiwa na tabasamu TAMU...
.Penny (Huyu ana kupiga KISS na anakwambia uwafuate walipo -yupo na rafiki yake-Kwaunde wangu hii mimi ndio nimeipenda)....ENJOY