Ukweli unauma...nasema hivi Talent
pekeee haitoshi bila kujipanga...nikiwa kama shabiki wa Ali kiba,huu
wimbo wa mwana kachemka..watanzania tuwe wakweli na sio watu wakurupuka
tu..Kiba ana vocal za hatari hili halina ubishi ila nyimbo hamna
kitu..chorus haina mvuto maneno hajajipanga..in short kapanic..na kama
ndo alijichimbia na kutoa nyimbo basi alichemka Game imechange na ndo
maana ata ukisikiliza nyimbo ya Fally ipupa kabadilisha style mpaka
beat..My opinion ni kwamba Kiba huyu sio sawa na Kimasomaso..Kapanick
yani kama huyu ndo competitor wa Dogo Dangoti alipo anacheka tu..kweli
Kiba u lacking some Good PR,Management ambayo inajielewa ikupe
ushauri,inauma kwasababu sauti yako ni untouchable ila wrong
management..ni hayo tu..Naandika hivi ili watu wake wampelekee msg its
such a waste of Talent.
↧