Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

HABARI MBAYA KWA WAPENZI WA ORIJINO KOMEDI, YADAIWA KUNDI HILO LIMEVUNJIKA.

$
0
0
http://1.bp.blogspot.com/-CXR2QK0Vh78/T0xddapLunI/AAAAAAAAC0I/wXDZVpaiS1c/s640/origino_komedi.jpgHakuna ubishi kua miaka michache iliyopita kund la Orijino Komedi ndio lenye mashabiki wengi hapa nchini. Ilikua ikifika mda wa kurushwa kipindi kila mtu alikua hangoki katika TV yake. Umaarufu wao uliongezeka zaid pale walipohama EATV na kuhamia TBC.

Umaarufu wao uliendelea kuwepo hadi siku zq karibuni ambapo ulishuka kwa kasi sana, taarifa ambazo Bongoclan tumezipata ni kua kwa sasa kundi hilo limevunjika na kila mtu anafanya kazi kivyake. Chanzo chetu kutoka kituo cha TV walichokua wakifanya kazi kiasema kua kwa sasa kila mtu ana hamsini zake na hawafanyi kazi tena pamoja.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles