$ 0 0 Fiesta ilianza kunguruma Jana kwenye viwanja vya CCM Kirumba ambapo mkali wa Bongofleva Diamond Platnumz alifanya vitu vyake . Hizo ni baadhi ya picha za hiyo show Jana