Mwigizaji Maarufu Anayejulikana kwa jina
la Rayuu Amejitokeza Baada ya kimya cha muda mrefu na kuiomba familia
yake Radhi kwa Picha Chafu zilizosambaa mtandaoni.
Rayuu Kipindi cha nyuma amekuwa akivujisha picha zake mbali mbali za sehemu za mwili za kutatanisha ambazo sio nzuri kimaadili, Picha nyingi zake amekua akionyesha sehemu alizojichora Tattoo ambazo mpenzi wake pekee ndio angepaswa kuona