
Jana kupitia Instagram Star Wabogojo aliyetamba miaka ya mwanzoni mwa 2000 kwa kuonekana katika Video ya Mr Nice alipata adha hiyo ya kukaguliwa na askari wa Hong Kong China wakumhisi kua kabeba madawa ya kulevya.
Unaweza Soma : Tuhuma za Usagaji zazidi kumwandama Jack Wolper, adaiwa kuiba mchumba wa mtu.
Wabogojo aliandika "18022015 Hong Kong Mapumziko
ASANTENI KWA KWA KUNITAKIA MEMA KATIKA SIKU YANGU YA KUZALIWA..
ILA LEO WAKATI NAINGIA HONG KONG BODA WALIVYOONA TANZANIAN PASSPORT BASI NIKAPELEKWA KWENYE KACHUMBA.
NKASACHIWA SANA TU HUKU WAKINIHOJI KUHUSU SHOW YETU,,,KUMBE WANANIJUA LAKINI KUSACHI HAWAJAACHA.
ETI WANAIPENDA SHOW YETU NAMI NIKAWAAMBIA NAIPENDA FAMILIA YANGU UNGA SIBEBI LABDA SEMBE AU DONA 😀😀😃😃😃😃
NA TAMAA YA MAHERA MENGI SINA...
NILIKASIRIKA ILA SIO KOSA LAO KOSA LETU SISI WA TZ NA WAAFRIKA WENGINE.JAMANI WAKIKUSHIKA NA UNGA HAWA JAMAA NI MIAKA TISA HIVI NDO WAMEKUONEA HURUMA."
Unaweza soma : Zari Ajibu Kejeli za Wema Kuhusu Ujauzito Aliyopewa na Diamond!
Haya kwa wenye macho watakua wameona kua ukikamatwa na Unga utafungwa mda gani, so vijana tufanye kazi na kuacha tamaa ya kupata hela za fasta.
Cheki Video ya alichokisema hapa Chini