$ 0 0 Ni Track ambayo ilisumbua sana mtaani na kwenye vituo mbali Mbali vya Radio. Godzilla na mchekeshaji Joti walipoamua kufanya Track ambayo walitumia beat ya nje na kuingiza mashairi yao wenyewe ( La kuchumpa ) Itazame Video Yake Hapo chini