$ 0 0 Maelfu ya mashabiki wa jiji la Mwanza waliojitokeza uwanja wa CCM Kirumba kuwashuhudia wakali wa Muziki katika Kilimanjaro Music Tour Msanii wa Ragga Dabo ndiye aliefungua rasmi show ya Kili Music Tour 2013 Rais wa masharobaro Bob Junior jukwaani na madansa wake