Masanja
mkandamizaji leo ametumbuiza katika uwanja wa Nelson Mandela katika
Manispaa Ya Sumbawanga ikiwa ni mwaliko rasmi wa Kanisa la Anglikan hapa
Sumbawanga kwenye Uzinduzi wa mkanda wa Kwaya ya ALL SAINTS ANGLICAN
CHURCH CHOIR (ASACC) katika uwanja huo mambo yalikuwa moto.