
''Masai Nyotambofu'' kulia akiwa kwenye MINI BUZZ Jijini Tanga.

Dan mtangazaji wa kipindi cha MINI BUZZ akiwa kwenye pozi na mchekeshaji maarufu hapa nchini kutoka kundi la VITUKO SHOW ambaye pia ni Director wa website ya www.masainyotambofu.com Hii ni baada ya kumaliza kurekodi kipindi cha MINI BUZZ Kipindi kinachoendeshwa na msanii mkongwe wa vichekesho hapa nchini kutoka kundi la mizengwe ''BI KIROBOTO'' sambamba na ''DAN'' leo walivyotembelea Tanga kunani? waja leo waondoka leo!

(Mama mkaazi wa Tanga akiwa ndani ya MINI BUZZ)




DEREVA wa MINI BUZZ






PICHA NA Mwandishi wa Masai Nyotambofu