Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

BASI UNAAMBIWA HUYU NDO BONDIA ALIYESHINDA PAMBANO LAKE NA KUPEWA ZAIDI YA BILLIONI 64 ZA KIBONGO, MCHEKI HAPA

$
0
0


Mayweather akimshambulia mpinzani wake vikali katika pambano la upande mmoja lililofanyika MGM Las Vegas Nevada Jumamosi ambapo Mayweather alishinda kwa 117-111 and 116-112 na 114-114.
Mayweather akimsoma mpinzani na kupanga mashambulizi.

Floyd “Money” Mayweather ana kila sababu ya kujivunia jina lake la utani “Money” kwani ni katika usiku mmoja tu bondia huyo ameingiza dola milioni 41.5 Jumamosi usiku huko Las Vegas.

Bondia wa Mexico Alvatez Carnello aliye kijana zaidi mwenye umri wa miaka 23 tu alionekana hana uzoefu na kufanya Mayweather mwenye umri wa miaka 36 aonekane yeye ndio mwenye umri mdogo au kijana zaidi.

Ni gumzo la kila aina linaendelea kwenye mabaa , vituo vya mabasi na Saloon juu ya pambano hili.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles