Produza Lucci kutoka Transfomax iliyotengeneza wimbo wa 'Jikubali' wa
Ben Pol, anayeoneka pichani akimvisha pete mchumba wake.Amesema kuwa
kitendo alichokifanya mwishoni mwa wiki iliyopita cha kumvisha pete
hakihusiani na uvumi kuhusu yeye kuwa na mahusiano ya kimapenzi na
Jokate ambaye wameimba nae kwenye wimbo wa 'Kaka na Dada'.
Lucci amesema kuwa alipanga muda mrefu kumvisha pete mchumba wake.Pia
amesema kuwa mwakani ndo anatarajia kufunga harusi.Pia amezungumza
kuhusu project zake za muziki na za wasanii waliorekodi 'Transfomax'...MSIKILIZE hapo chini;