Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

NAOMBENI RADHI KWA PICHA HIZI: MTU MMOJA APOTEZA MAISHA BAADA YA KUSHAMBULIWA NA SIMBA HUKO MKOANI LINDI, CHEKI PICHA 6 ZA TUKIO.

$
0
0
Hivi karibuni mdau wa website ya www.masainyotambofu.com akiongea kwa njia ya simu ya kiganjani kutoka huko mkoani LINDI wilaya ya NACHINGWEA katika kijiji cha ''LIONJA'' Alitoa taarifa kuhusu Mtu huyu mwenye umri wa miaka (45) ameuwawa na simba wakati akienda shambani kwake alfajiri kwenda kuangalia korosho wakati akielekea shambani ndipo aliposhambuliwa na simba hao wawili kabla ya tukio hilo simba hao walikuwa wakishambulia mbwa katika kijiji hicho, Tukio hili lilijiri siku chache zilizopita, M/mungu ailaze roho ya marehem mahala pema peponi,

 Wanakijiji wakitaharuki baada ya kuuona mwili wa marehemu.
 PICHA NA MDAU WA WEBSITE YA WWW.MASAINYOTAMBOFU.COM

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles