
Waandishi wengi walikua na maswali mengi kuhusu yeye kusimamishwa kuwa
Mwenyekiti wa Simba lakini akayapangua kwa kusema kesho mchana ndio
atazungumza na Waandishi kuhusu kila kitu ila sentensi moja iliyonyakwa
na millardayo.com ni ‘taarifa za kusimamishwa Uwenyekiti sijazipata,
ninachojua mimi bado ni Mwenyekiti wa Club ya Simba’