TRENDING PHOTOS ON INSTAGRAM, JOKATE, LULU, MASOGANGE, VANESSA, K -LYINN
Agnes Masogange Huyu ni rafiki yake Wema Sepetu anaitwa Nice Chande Jokate Kidoti kama kawa HAKOSEIVanesa Mdee acqueline Ntuyabaliwe (K-LYINN)Elizabeth Michael aka Lulu Back In DaysPICHA ZAIDI
View ArticleTAZAMA PICHA 15 ZA MAPOKEZI YA MWILI WA DIRECTOR GEORGE TYSON DAR ES SALAAM...
Jioni ya Mei 31 mwili wa Director George Tyson umewasili kwenye hospitali ya Dokta kairuki ambao umehifadhiwa hapo wakati mipango mbalimbali ya mazishi ikipangwa.Steve Nyerere ambae ni Mwenyekiti wa...
View ArticlePREZOO AENDELEA KUTHIBITISHA KWAMBA ANA HELA MBAYAAA, HIKI NDO ALICHOKIFANYA
Baada ya story za hapa town kuzagaa kuwa Ommy dimpoz amefanya shopping ya maana huko majuu, ila ishu ilikuwa pale alipofanya matumizi ya viatu aina ya sneakers yaliyokuwa yanalingana na...
View ArticleMREMBO WA KENYA MWENYE UMBO LA UTATA CORAZON KWAMBOKA, AKIRI KUMZIMIA HERMY B
Kama girlfriend wako akikuona unaongea na Corazon Kwamboka, hakuna shaka kuwa roho yake itamdunda kwakuwa wazo la kwanza litakalomuijia kichwani ni kuwa himaya yake ipo matatani. Corazon Kwamboka...
View ArticleBAD GIRL: MUIMBAJI WAKIKE NIGERIA AMEWEKA VIDEO INSTAGRAM KUFUNDISHA WATU KU-DO
Muimbaji mapepe Caroline Sam, maarufu kama Maheeda, kutoka Nigeria amesema huwa anaboreka watu kutowajibika vizuri wakati wa KWICH KWICH....HATARI SANA...Sasa kaamua kutoa Darasa Kupitia ukurasa...
View ArticleHUZUNI : MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE AFARIKI DUNIA
Ni taarifa nilizopata asubuhi ya June 1 2014 kuhusu kifo cha mama mzazi wa mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe aitwae Bi Shida ambapo aliethibitisha kifo hicho ni Zitto Kabwe mwenyewe. Hii ni May 25...
View ArticleMWANAFUNZI TENA....AMEAMUA KUJI-EXPOSE HUKO FACEBOOK
Hii sio mara ya kwanza kwa wanafunzi wakike kujipiga picha za utupu na kuzitupia kwenye mitandao ya kijamii kama FESIBUKU, WASAPU na mingineyo EITHER kwamakusudi au kwa KU-leak...Sasa huyu ni DENTI...
View ArticleBREAKING NEWS ; MAJAMBAZI YAUA MTU MMOJA ARUSHA
Majambazi wameingia northern bureau kupiga kazi saa hii.. huyo ni mpitanjia alipiga kelele wakamshona. A few hours ago. Clock tower, Arusha, Close to house of wine.
View ArticleMAHEEDA AMEENDELEA KUTOA PICHA TATA!!! (+18)
Mwimbaji maarufu inchini Nigeria MAHEEDA ameendelea kuweka picha ambazo ZINA HATARI kwasisi wazee wa ..... huko INSTAGRAM......Zitazame kwa makaini .....PAPUCHI imebanwa sana na kanguo Duh!!!!..ETI...
View Article--- Article Removed ---
*** *** *** RSSing Note: Article removed by member request. *** ***
View ArticleKIPAJI CHA FID Q HATARINI KUPOTEA KWA SABABU YA ULEVI, ALICHOFANYA MWANZA NI...
Anaitwa Fid Q mzee wa Mwanza Mwanza anakubalika sana kwa kua mkali wa mashairi yenye vina na yanayofanya mtu afikirie sana ili kuja kumwelewa. Yupo kwenye gemu toka kitambo nakumbuka mimi nlikua shule...
View ArticleMAREHEMU GEORGE TYSON KUAGWA LEADERS na KUZIKWA KENYA
Aliyekuwa Mtayarishaji Vipindi na Muongozaji wa filamu, Marehemu George Tyson aliyefariki kwa ajali ya gari mkoani Morogoro(May 30) ataagwa katika viwanja vya Leaders Club Jumanne (Juni 3) na baada ya...
View ArticleDIAMOND KUPIGA KOLABO NA MSANII HUYU WA MAREKANII????????? SOMA HAPA
Diamond Platnumz halali. Pamoja na mafanikio makubwa anayoendelea kuyapata, staa huyo anazidi kujitengeneza connection kali za kimataifa. Picha ya juu: Diamond akiwa na Kevin Liles, meneja wa Trey...
View ArticleJE WAJUA BEI YA KIATU HIKI CHA K-LYINN.....NI ZAIDI YA BEI YA VITZ
Leo katika pitapita kwenye kurasa za WAREMBO huko INSTAGRAM...nimekutana na hichi kiatu cha mwanamama Jacqueline Ntuyabaliwe aka K-LYINN..kiudaku udaku nikaona ngoja ni GUGO bei ya hiki kiatu....Duh...
View ArticleHATIMAYE UPCOMING MODEL LILIAN DEUCE ATWAA TAJI LA MISS ARUSHA CITY CENTRE...
Haya ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu imefkia tamati jana tarehe 31/05/2014 ndio siku ambayo yalifanyika mashindano ya Miss Arusha City centre pale Naura spring, shindano hilo lilikuwa...
View ArticleTAZAMA JEURI YA PESA ALIYOIONYESHA DEMU WA YOUNG KILLER
Unaposaini mkataba wa kufanya show na Kili Music Tour, hakuna wasiwasi kuwa milioni nyingi zitaingia kwenye akaunti yako. Mavuno ya mzee? Na hakuna kitu kizuri kufurahia pesa iliyoipata kama kumpa...
View ArticleEXCLUSIVE : BIFU LA WEMA NA KAJALA LAMALIZIKA. HIVI NDO ILIVYOKUA
Unaweza kuona kama bado drama zinaendelea lakin ni kama movie imefika mwisho, kwani wale wakali wawili waliotengeneza headline hapa mjini kwa social media wamepatana, Kajala Masanja na Wema sepetu....
View ArticlePICHA: YANAYOJIRI KIGOMA KATIKA MAZISHI YA MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE, SHIDA...
Mwili wa marehemu Shida Salum ukiandaliwa kwa ajili ya kuombewa. Mwili wa marehemu ulipowasili nyumbani. Mwili wa marehemu Shida Salum ukishushwa baada ya kuwasili nyumbani mchana wa leo. Viongozi...
View Article