Umeona hii nguo aliyovaa Huddah kutoka Kenya?? Ni Majanga jionee hapa...
This is what the former BBA contestant wore to the club last night. See an up close pic after the cut
View ArticleIrene Uwoya anasa katika penzi la msanii huyu mkubwa Kenya, soma hapa
Irene Uwoya amesema ingawa Jaguar alishindwa kuja kuzungumza na wazazi wake kuhusu ndoa yao, bado wanawasiliana vizuri na kila kitu kipo sawa. Akizungumza na na chanzo makini leo Irene amesema...
View ArticleDIAMOND ATHIBITISHA KUWA ZARI NI MJAMZITO....ONA KITUMBO KILIVYOTOKEZA
“Kileeeeeeee kinaanza kumuharibia mtu Mavazi..”Mwanamuziki maarufu nchini na sehemu nyingi za dunia – Diamond Platnumz ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa mwanadada Wema Sepetu ameendelea kuuhakikishia...
View ArticleMuonekano wa Lulu 2015 Wawa Gumzo, Midume yasema Anazidi Kuwa Mtamu Kama Mcharo
Lulu Michael Mrembo wa Bongo Flava amezidi mwagiwa sifa Kede kede mitandaoni hasa Instagram kwa jinsi anavyojiweka kimuonekano japo anakabiliwa na kesi ya........mauaji ya bila kukusudia ya marehemu...
View ArticleBENKI YA I&M YAZINDUA HUDUMA YA KWANZA YA MFUMO WA KIELEKTRONIKI YA MASAA 24...
TAARIFA KWA UMMABENKI YA I&M YAZINDUA HUDUMA YA KWANZA YA MFUMO WA KIELEKTRONIKI YA MASAA 24 KATIKA JENGO LA VIVA TOWERS, POSTA JIJINI DAR ES SALAAMJumanne 03/02/2015: I&M Bank (T) Limited...
View ArticleWAKATI WA KUIBUKA NA USHINDI MNONO KAMPENI YA ‘TUTOKE NA SERENGETI’ NDIO...
SERENGETI BREWERIES LTD“WAKATI WA KUIBUKA NA USHINDI MNONO KAMPENI YA ‘TUTOKE NA SERENGETI’ NI HUU”….YASEMA SBLDar es Salaam, Tanzania: 04th Februari, 2015. Kampuni ya pili kwa ukubwa katika...
View ArticleMwigizaji Van Vicker Kutoka Ghana Amzimikia Lulu Michael, Ampost Kwenye Page...
Udaku Special Blog: Mwigizaji Maarufu Barani Afrika Van Vicker Kutoka Ghana Jana kwenye Page ya Instragram Alipost Picha Akiwa amepiga na Mrembo mwigizaji Lulu Michael Kama Ishara ya Kumkumbuka na...
View ArticleNay Wamitego aonesha udharirishaji kwa mwanamke akiwa nusu uchi, tazama picha...
Picha hii imepostiwa kupitia Acc ya msanii wa Nay Wamitego akiwa yupo kitandani na mwanadada ambae amevalia bikini huku sehemu kubwa ya mwili wake ukiwa wazi / unaonekana. Hali ya mwanadada huyo...
View ArticleMchungaji Gwajima afunguka kuhusu mtoto wa Flora Mbasha
SIKU chache baada ya picha za mtoto mchanga kusambazwa katika mitandao ya kijamii na kudai kuwa ni za mtoto wa mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha kuwa amezaa na Mchungaji Kiongozi wa...
View ArticleHussein Machozi Anaswa na Mchepuko wa Kidhungu, ni Baada ya Kumtelekeza Mke...
Udaku Special Blog: Kama ulikuwa unajiuliza Hussen Machozi Yupo wapi baada ya kupotea kwenye Ramani ya Muziki basi leo utapata jibu hapa. Hivi Karibuni Mwanamke mmoja wa Kimombasa alisikika kwenye...
View ArticleBaada ya Gwajima, Mbasha Nae Akikana Kichanga Kilichozaliwa na Flora Mbasha
Familia ya Mbasha inaendelea kutengeneza vichwa vya habari. Baada ya mchungaji maarufu nchini, Gwajima kukanusha kuwa si baba wa mtoto wa Flora Mbasha, mume wa muimbaji huyo wa muziki wa injili,...
View ArticlePenzi la Wema Sepetu na Ommy Dimpoz Lawekwa Hadharani.......Wapiga Picha...
Hatimaye zile tetesi kwamba mwigizaji Wema Sepetu na msanii wa muziki Ommy Dimpoz wanatoka kimapenzi zimekuwa kweli kwa zaidi ya asilimia 200.... Tetesi hizo zimethibitishwa na picha waliyopiga...
View ArticleAliyekuwa Mume wa Zari sasa ala bata na Wema Sepetu South. Wema sasa aamua...
Ivan Ssemwanga, aliyekuwa mume wa Zari The Bosslady na aliyezaa naye watoto watatu ameanza kurusha mashambulizi kwa adui yake namba moja, Diamond Platnumz.Kuanzia Kulia: King Lawrence, Ivan Ssemwinga...
View ArticlePicha nyingine za Wema Sepetu na Ommy Dimpoz wakiwa wamelala pamoja, zicheki...
Na hii ni Project? au Macinemaaaaaaa??
View ArticlePicha: Batuli na Joel wa Fresh120media Katika Mapozi Tata!!
Kila mtu anajua uzuri na raha ya picha, hizi ni za mwigizaji Batuli akiwa na Joel Joseph wa fresh120media siku ya sherehe yake ya kuzaliwa. Watu wanasema picha huzungumza, lakini Batuli mwenyewe...
View ArticleWadada wa mjini je mnaweza vaa nguo hii aliyovaa Madona jana kwenye tuzo za...
The 56 year old music icon flashed her butt in a black Givenchy minidress, that looked like it was inspired by a matador's costume. She wore it with a black hat with a veil. Photo credit: Getty Images
View ArticleUtata Mtoto wa Flora, Mbasha Amtaka Flora Amuogope Mungu na Kueleza Watu...
SIKU chache baada ya kuibuka utata mkubwa juu ya kichanga cha kike cha mwimba Injili maarufu Bongo, Flora Mbasha huku mitandao ya kijamii ikieleza kwamba baba wa mtoto huyo si aliyekuwa mume wa...
View ArticleAlikiba ala shavu, sasa kufanya kolabo na Chriss Brown. Ndio Chriss Brown,...
Uongozi wa muziki nchini marekani unao muongoza msanii wa R&B Chris Brown umetoa taarifa kwa uongozi wa muziki Tanzania unao muongoza msanii kutoka Tanzania ALI KIBA msanii ambae yupo chini ya...
View Article