SHEIKH PONDA AWEKWA CHINI YA ULINZI MKALI WA POLISI.....JUMUIYA YA KIISLAM...
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda yupo chini ya ulinzi huku akitibiwa majeraha katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Sheikh Ponda alisafirishwa usiku wa...
View ArticleCHEKI MESEJI YA VITISHO ALIYO TUMIWA NAY WA MITEGO, ADAI KUTUMIWA NA WATU...
Msanii wa Hip Hop, Nay Wa Mitego amesema haogopi vitisho anavyoendelea kupata baada ya watu aliowatuhumu kwenye wimbo wa mpya, Salam Zao’ kuwa walichukua pesa za rambirambi za msiba wa marehemu Albert...
View ArticleNDAUKA AANZA KUPETA ANGA ZA MUZIKI, HIKI NDO ALICHOKISEMA SIKU CHACHE BAADA...
MSANII wa filamu nchini Rose Ndauka kwa mara ya kwanza amefanya shoo ya aina yake ya nyimbo ya bongo fleva aliyoshirikiswa na kundi la TNG, katika tamasha la sikukuu ya Iddi lililofanyika Dar Live...
View ArticleHATIMAYE BELLE9 AFUNGUKA KUHUSU ISHU YA NEY KUSEMA KUA ALIOGOPA KUFANYA...
Msanii anaefanya vizuri katika muziki wa bongo fleva,Belle 9 mwenye maskani yake mjini Morogoro.Belle 9 alifanya mahojiano kwa njia ya simu na mmoja kati ya watu wanaunda Team tizniz na hivi ndivyo...
View ArticleKAMA WEWE NI SHABIKI MKUBWA WA LULU BASI UJUMBE HUU UNAKUHUSU, NAAMINI...
Jana kupitia mtandao, mwanadada Elizabeth Michael (Lulu) aliandika ujumbe huu kwa watu wote watakaopenda kuusoma na kuufanyia kazi katika maisha yao. Ujumbe huu ni ujumbe wa upendo na sio vibaya...
View ArticleHILI NDO GAZETI LA UINGEREZA LILILO DAI KUWA SHEIKH PONDA AMEPIGWA RISASI NA...
Zanzibar acid attack: Sheikh Issa Ponda wanted for inciting violence is under armed guard in hospital In hospital: Muslim cleric Sheikh Issa Ponda Barcroft Media The Muslim preacher wanted in...
View ArticleWASTARA ALA IDD KABURINI KWA SAJUKI, SOMA HAPA ALICHOKISEMA
STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma, yeye ameamua kula Sikukuu ya Idd El Fitr kwa staili ya tofauti na watu wengine ambapo alikula kaburini kwa mumewe, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’.Ishu hiyo...
View ArticleWALTER CHILAMBO AWA MSANII WA PILI KUZUNGUMZIA ISHU YA KUCHANWA NA NEY KATIKA...
Baada ya maneno na tuhuma nzito za Ney wa Mitego dhidi ya Mshindi wa Epiq Bongo Star Search mwaka 2012, Walter Chilambo kuwa 'huenda' amedhulumiwa zawadi yake ya ushindi, Shilingi Milioni 50 na...
View ArticleZICHEKI PICHA ZA SENETA SONKO NA MASTAA WA KENYA WALIVYOUDHURIA SHOW YA...
Alikuwepo Seneta wa wakenya.Seneta wanatumia jina ilo nchini kenya lakini naweza muita Mbunge wa Jiji la NairobiAnaefahamika kama Mike Sonko,Mbunge kijana zaidi kwenye bunge la kenya ,ukifika...
View ArticleBAADA YA KUTOROKA BONGO, HAYA NDO MAISHA MAPYA YA MWINYI KAZIMOTO HUKO QATAR....
MWINYI KAZIMOTO AKIWA NA MTOTO WA HASSAN AFIF AMBAYE AMEMFANYAI MIPANGO YA KWENDA QATAR
View ArticleBILIONEA MWINGINE AUAWA KWA KUPIGWA RISASI JIJINI DAR
MAUAJI ya wafanyabiashara wakubwa ‘mabilionea’ yameshika kasi nchini ambapo baada ya tajiri mkubwa Arusha, Erasto Msuya kuuawa kwa risasi hivi karibuni, Agosti 3, 2013 bilionea Elia Daniel Endeni (49)...
View ArticleJE WAJUA KUA LEO FID Q ANASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA? BASI JIBU NI...
Ukicheki hiyo picha hapo juu sura ya mtu gani maarufu inakuja kwa haraka, kama bado haujamfahamu huyo ni Fareed Kubanda a.k.a Fid Q. Pia kama umesahau leo ni August 13 ambayo ni jina la ngoma yake...
View ArticleJE WAJUA KUA SHOW YA DIAMOND KENYA KIDOGO IBUME BAADA YA MASHABIKI KUANZA...
Diamond Plarnumz au anavyopenda kujiita mwenyewe Mnyama, alipiga show nchini Kenya katika siku ya Idd. Na unaweza tazama picha za show aliyofanya kenya kwa kubofya hapa. Basi sasa habari tulizozipata...
View Article"SIFURAHISHWI NA MATUMIZI YA PICHA ZANGU" RAYUU. SOMA ZAIDI ALICHOKISEMA HAPA
MWIGIZAJI wa filamu wa kike Alice Bagenzi ‘Rayuu’ anashangazwa na baadhi ya watu ambao wamekuwa wakitumia picha zake na kuandika wanavyojua bila hata ya ridhaa yake huku akidai kuwa aliwahi...
View ArticleBASI KA ULIKUA HUJUI HII NDO BIASHARA MPYA YA MSANII JUMA NATURE, NA HUU NDO...
Inakuaje watu wangu mko poa tunatoa shukrani kwa watu wetu wote waliochangia chama kwa kununua t-shirt zetu ambazo tunatengeneza wenyewe kwenye kampuni yetu but huo hapo ni mzigo mpya tumeudondosha so...
View ArticleTAZAMA PICHA ZA KILICHOJIRI KATIKA MISA YA KUMWOMBEA MAREHEMU ERASTO MSUYA,...
Familia ya marehemu katika ibada ya kumwaga marehemu Erasto Msuya iliyofanyika Jumatatu huko Sakina Arusha. Dada wa marehemu Erasto Msuya katika ibada ya kumwaga marehemu kaka yake Erasto Msuya...
View ArticleHII NDO HISTORIA YA MAISHA YA MTANGAZAJI MAARUFU WA CLOUDS FM MILLARD AYO....
Millard Afrael Ayo alizaliwa Arusha January 26 akiwa ni mtoto wa kwanza kwenye famili ya watoto wanne ya Afrael Ayo ambae ni mmeru wa Akheri Tengeru, ni mfanyabiashara na mama Mary Ayo ni mwalimu....
View Article