RAISI JAKAYA KIKWETE ALIVYOKABIDHIWA JEZI YA LIONEL MESSI ILIYOSAINIWA NA...
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bi. Kushilla Thomas akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete jezi iliyosainiwa na wachezaji wote wa timu ya FC Barcelona Ikulu jijini Dar es salaam jana...
View ArticleYALIYOJIRI JIJINI MBEYA:!! UZEMBE WA TANESCO WASABABISHA KIFO CHA BINTI WA...
HAPA NDIPO MAREHEMU ALIPOGUSA NA KUKUTWA NA MAUTINYAYA ZA UMEME AMBAZO ZIMENING'INIA MITA MOJA KUTOKA USAWA WA ARDHI ZIMESABABISHA KIFO CHA NEEMA B. KIPENYA (26) ALIPOTELEZA NA KUKAMATA NYAYA HIZO...
View ArticleHUYU NDO MSANII WA BONGO MOVIE AMBAYE WATU WANASEMA ANA JINSIA MBILI, SOMA...
Zamo mwigizaji wa filamu Swahilihood. MSANII na mtayarishaji wa filamu Swahilihood Zahra Chambo Mohamed aka Zamo anasema kuwa anachukizwa sana na tabia ya baadhi ya watu ambao wamekuwa wakimuongelea...
View ArticleMSANII WA KUNDI LA ''VITUKO SHOW'' ACHEZEA KICHAPO JIJINI TANGA! CHEKI PICHA...
''Kazi Suleiman''Shingoni''Kazi Suleiman'' (Kazi) Mchekeshaji kutoka kundi maarufu lililosheheni wachekeshaji nguli hapa nchini la la''VITUKO SHOW''linalorusha kipindi chakekatika kituo chaCHANNEL TEN,...
View ArticleHIVI NDIVYO ILIVYOKUA HADI WANANCHI KUMZUIA MIZENGO PINDA, KWA KULALA BARABARANI
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameonja joto baada ya wananchi wa maeneo ya Mloganzira na Kwembe Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam kulala barabarani kama njia ya kushiniza kutekelezewa madai yao....
View ArticleTAZAMA PICHA ZA WAYNE ROONEY ALIPOGOMA KUSHANGILIA MAGOLI NA WENZAKE KWENYE...
Wachezaji wa Manchester United wakishangalia na Wayne Rooney akiwa hana habari akizungumza na refa.
View ArticleWAKAZI WA KIGOMA WALIPOKEA KWA KISHINDO TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013,...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Neylee akiimba kwa hisia kwenye jukwaa la tamasha la Serengeti Fiesta 2013,usiku huu kwenu uwanja wa Lake Tanganyika. Sehemu ya umati wa watu waliofurika kwenye uwanja...
View ArticleMAMBO YA GESI NTWARA:PICHA ZA WAZUNGU WAKIPIGA NDUMBA ILI WASAFIRISHE GESI
''bibi wa ntwara'' mambo ya gesi huko umakondeni. Wazungu wakipiga ndumba ili wasafirishe gesi ya ntwara!!! Source:Jamii Forums
View ArticleOFISA WA JWTZ AHOFIWA KUTOROKEA RWANDA, NI MWENYE CHEO CHA LUTENI. SOMA HAPA
OFISA wa cheo cha juu katika Jeshi la Wananchi (JWTZ), anayeaminika kuwa na asili ya Rwanda, ametoweka katika mazingira ya kutatanisha, huku akiacha wingu la mashaka kwamba, hatua yake hiyo inaweza...
View ArticleHABARI KWA WAPENZI WA OMMY DIMPOZ, OMMY DIMPOZ KUANZA TOUR YAKE NCHINI...
Ndo yule wa Nai Nai na Baadae....Ukisikia maneno haya basi utajua ni mistari iliyopo kwenye ngomampya ya Msanii Omary Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz C.E.O wa Pozi kwa Pozi Entertainmentanaetamba na kibao...
View ArticleCHEKI HAPA NICK MINAJ ALIVYOPOROMOSHA PARTY YA NGUVU
Mbele huko kwa wanyamwezi katika pita pita zangu nikaona party ya nguvu aliyodondosha mwanadada Nicki Minaj baada ya kumaliza video shooting ya member wa kundi lakena Producer Dj Khaleed aliamua...
View ArticleCHEKI HAPA NICK MINAJ ALIVYOPOROMOSHA PARTY YA NGUVU
Mbele huko kwa wanyamwezi katika pita pita zangu nikaona party ya nguvu aliyodondosha mwanadada Nicki Minaj baada ya kumaliza video shooting ya member wa kundi lakena Producer Dj Khaleed aliamua...
View ArticleCHEKI HAPA NICK MINAJ ALIVYOPOROMOSHA PARTY YA NGUVU
Mbele huko kwa wanyamwezi katika pita pita zangu nikaona party ya nguvu aliyodondosha mwanadada Nicki Minaj baada ya kumaliza video shooting ya member wa kundi lakena Producer Dj Khaleed aliamua...
View ArticleMTU ASIYEJULIKANA AGAWA FEDHA BURE JIJINI DAR, TAZAMA PICHA HAPA
Bajaji wakiwa kwenye foleni kuwekewa mafuta na mtu ambaye hakutaka kujitambulisha ====== ========= Mwanamme mmoja, ambaye amekuwa akiongozana na maaskari polisi wawili, amekuwa akigawa fedha za bure...
View Article