KAMA DIAMOND AKIFA KESHO, HUYU NDIYE MSANII DIAMOND ANAAMINI ATAIPEPERUSHA...
Kuna mtu mmoja muhimu kwenye muziki aliwahi kunipigia simu na kuniuliza swali hili.. Hivi kama Diamond Platnumz bahati mbaya Mungu akimchukua, ni msanii gani mwingine wa Tanzania anayeweza kufanya...
View ArticleHATIMAYE RAISI WA BAYERN MUNICH AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 3 KWA KUKWEPA KODI
Rais wa Bayern Munich amehukumiwa kwenda jela kwa kifungo cha miaka mitatu na miezi sita kutokana na kosa la kukwepa kodi.Uli Hoeness, 62, alikiri kukwepa kodi inayofikia kiasi cha €18.5 million...
View ArticleKWENYE SHIDA HADI UGANGA UNATUMIKA..!! MALAYSIA YATUMIA WAGANGA WA JADI...
Wakati ambapo China imepeleka angani satellite 10 kuitafuta ndege ya Malaysia Airlines iliyopotea, serikali ya Malaysia imewaomba waganga wa kienyeji kusaidia zoezi hilo.Mganga maarufu nchini humo...
View ArticleBABY MADAHA HAISHI VITUKO, AKOMALIA AOLEWE NA MENEJA WAKE. SOMA ALICHOKISEMA...
MWANA DADA kutoka kiwanda cha muziki na filamu Bongo, Baby Madaha ameonekana kukomalia kuolewa na meneja wake, Joe Kairuki huku akidai kuwa, mwanume huyo ni mume sahihi kwake.Baby Madaha akiwa na...
View ArticleLULU ASEMA "NIKIPATA MIMBA TENA SIFANYI TENA KOSA, NAZAA TU!" JE ALIWAHI...
STAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa kama siku yoyote atapata ujauzito kwa bahati mbaya, hatafanya kosa tena, atazaa tu. Katika mahojiano maalum na gazeti hili juzikati, Lulu...
View ArticleMAYA "ATAKAYE NIOA ATAFAIDI SANA KUPITA MAELEZO MAANA MI NI HODARI SANA...
MWIGIZAJI mkongwe Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amesema licha ya kuwa bado hajaolewa lakini atakayemuoa atafaidi mapishi yake kwani ni fundi wa kupika.Maya alifunguka hayo juzikati wakati paparazi wetu...
View ArticleHAWA NDIYO WASANII 6 WA BONGO NA MAREKANI WANAOENDANA UMRI SAWA NA DIAMOND...
Diamond alizaliwa tarehe 2, October mwaka 1989 katika Hospitali ya Amana Dar es salaam.Kwa mwaka huu diamond anategea kufikisha robo karne kwa kutimiza miaka 25. Akiwa huu ni mwaka wa 6 ndani ya game...
View ArticleNEW SONG : NANDY - SHY (PRODUCER MBEZI)
Learn how to put a song on itunes at ReverbNation.com
View ArticleJACQUELINE WOLPER, DULLY SYKES, LINAH SANGA, SHETA NA GELLY WA RHYMES...
Rapa Joniko Flower akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku wenzake wakisebeneka ndani ya kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita pamoja na Ijumaa zingine za kila wiki.Mdau...
View ArticleTAZAMA PICHA ZA MJENGO WA MH. TEMBA ALIYOKABIDHIWA HAPO JANA NA SAID FELLA..!!
Kupitia akaunti ya Said Fella ambaye ni C.E.O wa MKUBWA NA WANAE FOUNDATION na meneja wa msanii Mh Temba, amefunguka na kusema anamkabidhi Mh. Temba mjengo wake ikiwa ni mjengo wa pili kumpatia...
View ArticleBAADA YA RIHHANA NA DRAKE KUACHIA PICHA WAKIWA WAMESHIKANA MKONO CRISS...
Last week it was reported that Karrueche had finally given up on her relationship with Chris Brown after discovering that he was still secretly longing for Rihanna. Well, now that Rihanna and Drake are...
View ArticleTAZAMA PICHA 11 ZA RAIS MASIKINI KULIKO WOTE DUNIANI NA MAMBO 9 YANAYOMUHUSU.
Ni kawaida kukuta maisha wanayoishi Wanasiasa ni tofauti na wapiga kura wao lakini sio hivyo kwa Rais wa Uruguay ambae anaishi kwenye maeneo ya mashambani na anatoa sehemu kubwa ya kipato chake...
View ArticleWEMA NA DIAMOND HAPATOSHI YADAIWA WAZICHAPA KISA WIVU KWA VICTORIA KIMANI
Inasemekana lakini ....Habari kutoka Segment ya U-Heard ya Sudi Brown wa Clouds FM imehabarisha kuwa Wema na Diamond Jana walikwaruzana baada ya Wema kuhisi kuwa Diamond anatoka na Mwanamuziki wa Kenya...
View ArticleHUYU NDIYO LADY JAY DEE KOMANDO AU ANACONDA, HAKUNA MSANII KAMA YEYE KWA HILI...
Unapozungumzia wakonge wa game ya Bongo Fleva usipomtaja mwanadada Lady Jay Dee katika list yako basi utakuwa umefeli, Lady Jay Dee amekaa katika game kwa miaka 14 na ndani ya miaka hiyo amekumbana na...
View ArticleNAZIZI AFA KIMAPENZI NA PRODUCER WA KIBONGO...AACHANA NA MUME WAKE CHEKI...
Hivi karibuni, mmoja wa waasisi wa hip hop nchini Kenya, Nazizi, alithibitisha kuwa ameachana ma mume wake kutoka Tanzania, Vinny, na wapo katika harakati za kupeana talaka Naziz na Vinny wana mtoto...
View ArticleBAADA YA KUDAIWA KUA WEMA NA DIAMOND WAMEGOMBANA, WEMA APOST PICHA HII...
Wema ameamua kujibu mapigo hayo baada ya kuachia picha ya mpenzi wake huyo akiwa kitandani na alama ya kiss shavuni na kufuatia na ujumbe huu mzito ” Da love of my life…. Dats wat he is…. Our life, our...
View Article