Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all 3623 articles
Browse latest View live

EXCLUSIVE: SOMA KISA NA CHANZO CHA BIFU LA DIAMOND NA ALIKIBA, UKISHASOMA ITAKUSAIDIA USIJE KUINGIZWA MJINI NA MATAPELI. SOMA HAPA

$
0
0

Jumapili ya jana ilikua jumapili mbaya sana kwa msanii Diamond kwani ni kama vile karibu watu wote waliojiunga instagram walimuona mtu mbaya kwake. Ishu ilianza ivi, kupitia akaunti moja huko Instagram inayotumia jina la TeamKiba iliandika ujumbe unaosemekana umeandikwa na Diammond ukisema "Unajua kua kuna watu hawataki kabisa kukubali kua mimi ni zaidi yao kuanzia mziki wangu mpaka maisha yangu, mtu anaulizwa twitter hivi mkiamua kufanya nyimbo na Diamond hamuoni kwamba itapendeza sanaa. Et never eve haiwezi kutokea mimi kuimba na Diamond, badala angekubali apate kick nimrudishe katika mziki analeta dharau wakati anipati kimziki wala kipesa. Muziki wake hauna tena soko nasikia sasa hivi kajiunga na taasisi ya mkopo inaitwa FAIDIKA NA PRIDE kakopeshwa kujenga nyumba. Sitaki kua mnafiki ni Ali Kiba"

Mwandishi wetu wa Bongoclan aliendelea kufatilia picha linaendaje na baada ya mda mfupi akaunti hiyo iliendelea kupost ujumbe mwingine kwa njia ya picha unaodaiwa kua umetolewa katika page ya Rafiki mkubwa wa AliKiba anaefahamika kwa jina la Bonge la Nyau ukisema "Hivi huyo msanii Domo Diamond anamtaka kitu gani msanii Ali kiba? Tokea juzi amekua akimzungumzia katika media kwa wale mliofatilia katika interview yake baada ya kusamehewa na kituo cha chanel ten aliropoka maneno haya kuhusu Ali Kiba kujiunga Pride akakopeshwa ndio tatizo? Kuna matajiri kibao humu mjini wana maisha mazuri kwa ajili ya mikopo. Zote chuki Diamond kama na wewe unataka mikopo si ukajiunge?? Sio kumpiga majungu mwenzio watu kibao wamejiunga na mikopo washapata inawasaidia. Kama na wewe unataka tena usisusumbuke bofya hapa http://pri*****tanzania.wapka.mobi (tumeficha adress hiyo kwa sababu ni ya matapeli) utapatiwa mkopo na sio kumponda mwenzio.

Sasa movie linaanza hapaaaa, kupitia akaunti ya Bonge la nyau instagram, Bongo la nyau alikana kuandika ujumbe huo hapo juu na hichi ndo alichokisema "Jaman haya mambo yanayoendelea mm yanazidi kunisangaza cz napigowa simu sana na kutumiwa msg kwamba nimepost msg ya kumponda diamond kwa kusema alimponda ali kiba before... dah kweli nishai inshu iko iv iyo account hapo juu ilikuwa yangu miezi mitatu iliyopita bt kuna matapeli wa pride walinizidi ujanja wakai haki na kuchange password mpaka email ikawa chini yao wananisumbua sana cz wanapokea deal zangu zote wanawatapeli watu, watu wakijua wanawasiliana na bonge la nyau nshapokea cm ya kulaumiwa sana mpaka kutaka kupelekwa police kwaajiri ya matapeli hao cz iyo account ilikuwa kuwa kubwa sana na ina fans zangu wengi wanaojua kuwa ni mm uyo bt sio ivyo leo wamekuja na utapeli mwingine wa kuwachonganisha diamond na ali kiba ili kutangaza mambo yao ya pride sio poa kabisa cz wananiharibia mm naonekana naingilia mambo yasiyonihusu kabisa siwezi kukaa kuponda msanii mwenzangu yoyote wala kumuongelea kwa mabaya..... iyo sio peg yangu na siitumii so kama utamuitaji bonge la nyau hapatikani kwa page iyo ntwawapostia page yangu nnayatumia, hao ni matapeli wa pride wanaowaibia watu cz hata ukisoma story vizuri wameingia mambo ya kujengewa nyumba na pride akajidai eti mbona na mm bonge la nyau nimejenga kwa mkopa wa pride no no no no me sijajenga kwa pride na still niko kwa mama yangu ni uzushi tuu wa kutaka pride i kik kwa kupitia majina ya wasanii.."

Baada ya uchunguzi wetu uliofanya na mwandishi wetu kutoka Bongoclantz.com tuligundua kweli kua akaunti ya Bonge la nyau ipo hacked na ndo ilitumiwa na matapeli kuchochea bifu hilo hapo juu. Kama wewe ni mfatiliaji utakumbuka kua njia hii ya utapeli ilishatumiwa na matapeli hao waliohack akunti ya msanii Kala Jeremiah, kama ulipitwa na alichokisema kala kuhusu akaunti yake kuibiwa na matapeli hao bofya >>>>>hapa<<<  Pia matapeli hawa walishatumia jina la Wolper soma >>>hapa<<<, waka tumia jina la wema sepetu soma >>>>hapa<<< Wakatumia jina la Salama Jabir soma >>>>hapa<<< na wasanii wengine wengi sana


Utapeli uliokua ukitumika katika akaunti feki kwa kutumia wasanii majina ya wasanii mbalimbalindo uliotumika na hapa katika bifu hili la Ali Kiba na Diamond. Matapeli hawa hujifanya wanatoa mikopo ya hadi zaidi ya milioni 20 kwa kujisajili kwa sh 80,000 tu. Sasa ukijidanganya ukatuma hiyo hela jua kua ndo umeshatapeliwa na hela yako haitarudi na hata ukiwapigia kwa namba uliyowatumia hela hutawapata. 

164594_10150365678620525_2331434_n
Ukweli ni kwamba hakuna mikopo inayotolea mtandaoni bila ya dhamana na bila ya kuandikishiana mikataba sasa chunga sana usije ukaibiwa. Mwandishi wetu kutoka Bongoclan ataendelea kuwaletea habari zaidi kuusu bifu il na tunapanga kuwatafuta wasanii Diaamond na Alikiba ili waelezee upande wao.

KAMA ULIDHANI MCHUMBA WA LULU NI MBABA BASI UMEPOTEA, MCHEKI HAPA NI KIJANA BUT ANA HELA MBAYAAAA

WADADA WA MJINI JE MNAWEZA VAA HII NGUO ALIYOTOKELEZEA NAYO RIHANA JANA KATIKA GRAMMY???? TUJUZE HAPA

HELICOPTER YA CHADEMA YAWA KIVUTIO BUKOBA, MAELFU YA WATU WAJITOKEZA KUSHANGAA. TAZAMA PICHA HAPA

$
0
0




Mwanzo wa harakati za M4C -PAMOJA DAIMA ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba leo ambapo Chama Cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema) kinaendelea kupasua anga kwa kutumia Helkopita ili kuwafikia wafuasi wao kwa haraka



Chopa ya Chadema ikiwa katika viwanja vya Uhuru mjini hapa

Muda mfupi baada ya helikopta kutua katika viwanja vya uhuru Mjini Bukoba



Hekaheka baada ya helikopta kutua



Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwasili katika viwanja vya Uhuru Platform mjini Bukoba kwa ajili ya mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika leo Jan 26,2014





Picha mbalimbali za Matukio ya mkutano wa hadhara wa chadema Operesheni M4C Pamoja Daima,uliofanyika kwenye Uwanja wa uhuru Uswahilini jioni ya leo





Baadhi ya wananchi wa mji wa Bukoba wakiwa wametulia wakati wa mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima wa Chadema, uliofanyika kwenye Uwanja wa uhuru





Hotuba zote Audio na video zinapatikana hapa hapa bukoba wadau blog.Ukianzia mwanzo wa habari iliyopo juu ya hii, Picha zaidi zinapatika kwenye ukurasa wetu wa facebook.



Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Freeman Mbowe akihutubia mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika kwenye uwanja wa uhuru leo.



Makamu Mwenyekiti wa chadema Zanzibar, Mh.Said I. Mohamed akiwahutubia wakazi wa Bukoba



Makamu Mwenyekiti wa chadema Zanzibar, Mh.Said Issa Mohamed akiendelea kuhutubia katika mkutano wa Operesheni Pamoja Daima Mjini Bukoba.



Godbless Jonathani Lema Mbunge Jimbo la Arusha mjini(Chadema) akiwahutubia mamia ya wakazi wa mji wa Bukoba na Vitongoji vyake leo Jan 26, 2014



Wananchi wakiendelea kumsikiliza Mh. Lema.



Wafuasi wa CHADEMA wakimsikiliza Mbunge Jimbo la Arusha mjini(Chadema ) Godbless Lema alipokuwa akiwahutubia leo katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima



Mbunge Concesta Rwamlaza Chadema viti Maalum (Bukoba) azungumza juu ya hali mgogoro wa kisiasa ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba



Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare akiwahutubia maelfu ya wananchi mjini Bukoba katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima uliofanyika leo Jan 26,2014 katika uwanja wa Uhuru( Mayunga)




Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatarekatika hali ya usikivu.





Sehemu ya wanahabari wakiwajibika.



Mkutano ukiendelea wakazi wa Manispaa ya Mji wa Bukoba wakimsikiliza Mbunge wa Ubungo Mh. John Mnyika



Mh.Mbunge wa Ubungo John Mnyika akiwahutubia wananchi wa mji wa Bukoba na vitingoji vyake katika mkutano wa hadhara wa Operesehni M4C Pamoja Daima



Mbunge wa Biharamulo Magharibi Dk.Anthony Mbassa akiwahutubia wananchi wa mji wa Bukoba na vitingoji vyake katika mkutano wa hadhara wa Operesehni M4C Pamoja Daima



Sehemu ya Mamia ya wakazi wa Manispaa ya Bukoba waliojitokeza katika mkutano wa Operesheni Pamoja Daima ulio ongozwa na Mh Freeman Mbowe.





Mamia ya wakazi wa Manispaa ya Bukoba waliojitokeza katika mkutano wa Operesheni Pamoja Daima ulio ongozwa na Mh Freeman Mbowe,Mh Lema, Mh. John Mnyika na Dk.Anthony Mbassa na Makamu Mwenyekiti wa chadema Zanzibar, Mh.Said Issa Mohamed








Mwisho wananchi wakiwa wamesimama tayari kwa kidedea kuwasindikiza Viongozi wa Chadema



Mwanzo wa Msafara wa maandamano baada ya Mkutano kufungwa.



Viongozi wa Chadema wakiondoka kwa shamrashamra, baada ya kuhutubia mkutano wa hadahara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika katika mjini Bukoba leo.



Mashamsham,Ngembe na vikeleshendo wafuasi wa Chadema wakitoa sopport ya aina yake



Wafuasi wa Chadema katika kidedea kuwasindikiza Viongozi wa Chama chao.



Kidedea katikati ya Barabara ya Jamhuri.



Kutoka uwanja wa Uhurus moja moja hadi stand kuu ya mabus,kukatiza barabara ya tupendane mpaka Jamhuri na sasa makanda ndio haooo..wanaitafuta Uganda road hadi mwisho Victorious Perch Hotel walipofikia Viongozi wa Chadema

credit : bukoba wadau blog

KAULI YA CHIEF KIUMBE JUU YA NDINGA MPYA YA DIAMOND… KUMBE DIAMOND KAGONGEA GARI. SOMA HAPA

$
0
0
Mara baada ya tetesi kusambaa sana mitaani na kwenye mitandao juu ya Diamond kununua ndinga mpya mara baada ya kuonekana aki-post picha akiwa na gari hilo bila neno lolote yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 245 za Kitanzania hatimaye Chief Kiumbe amefunguka juu ya ndinga hilo.

Leo asubuhi kupitia interview na kituo flani mfanya biashara ‘Chief Kiumbe’ alifunguka na kusema kwamba gari analomiliki msanii wa bongo fleva ‘Diamond’ ni la kwake.

Huu ndio ujumbe wake Chief Kiumbe.
“Unajua mimi huwa sio mtu wa kuzungumza sana ila ukweli ni kwamba wasanii wengi wa hapa bongo wanatembelea magari yangu, na wala hawatoi hela yoyote,kwa mfano Diamond anamiliki gari yangu mpya ambalo nilinunua zaidi ya shilingi milioni 245 kipindi niko nje kiziara, nafanya hivi kwasababu ya upendo na pia wapo wasanii wengi tu, kuna wengine wanajitamba kwamba wamenunua ila sio kweli mimi ndio ninawapa bureee watembele hizo habari za kwamba wananunua hakuna kitu kama hicho,mimi napenda watu wafuate nyayo za Diamond naamini watafanikisha ndoto zao” – Kiumbe.
CREDIT : DJ NOBBY

TAZAMA PICHA ZA RED CARPET YA GRAMMY AWARDS PAMOJA NA LIST YA WASHINDI WA TUZO HAPA

$
0
0
Beyonce, Alicia Keys, Taylor Swift, pregnant Ciara and Amber Rose looking fabulous at last night's Grammy Awards which held at The Staples Center in Los Angeles. Continue to see more red carpet photos and full list of winners...

17-year-old Lorde won Best Pop Solo Performance and Song of the Year for Royals. Amazing! Love that song...


Beyonce
 Alicia Keys and Swizz Beatz
 Paris Hilton
Rita Ora

Katy Perry

 Madonna and son

 Paula Patton
 Ariana Grande
Ciara
 Pink
 
 Amber Rose

 John Legend and Chrissy Teigen
Kelly Osbourne
 Guiliana Rancic, Colbie Callat, and Bonnie Mckee
 Fantasia, Tamar Braxton and Faith Evans

Full list of winners
Best New Artist: Macklemore & Ryan Lewis

Best Pop Duo/Group Performance: "Get Lucky," Daft Punk ft. Pharrell Williams and Nyle Rodgers

Best Rock Song: "Cut Me Some Slack," Dave Grohl, Paul McCartney, Krist Novoselic & Pat Smear

Best Pop Solo Performance: "Royals," Lorde

Best Rap/Sung Collaboration: "Holy Grail," Jay Z ft. Justin Timberlake

Best Country Album: Same Trailer Different Park, Kacey Musgraves

Song of the Year: "Royals," Lorde

Best Pop Instrumental Album: Stepping Out, Herb Albert

Best Traditional Pop Vocal Album: To Be Loved, Michael Buble

Best Reggae Album: Ziggy Marley In Concert, Ziggy Marley

Best Spoken Word Album: America Again: Re-becoming The Greatness We Never Weren't, Stephen Colbert

Best Remixed Recording, Non-Classical: Summertime Sadness, Cedric Gervais, Remixer (Lana Del Rey)

Best Gospel/Contemporary Christian Music Performance: "Break Every Chain [Live]", Tasha Cobbs

Best Gospel Song: "If He Did It Before... Same God [Live]", Tye Tribbett
Follow her arrow: Kacey Musgraves also won two gongs

Best Gospel Album: Greater Than [Live], Tye Tribbet,

Best Latin Pop Album: Vida, Draco Rosa,

Best Song Written For Visual Media:  "Skyfall," Thomas Newman

Best Chamber Music/Small Ensemble Performance: Brady Wells and Roomful of Teeth, "Roomful of Teeth"

Best New Age Album: Love's River, Laura Sullivan

Best Jazz Vocal Album:  Liquid Spirit, Gregory Porter,

Best Jazz Instrumental Album: Money Jungle: Provocative In Blue, Terri Lyne Carrington

Best Latin Jazz Album: Song For Maura, Paquito D'Rivera And Trio Corrente

Best Compilation Soundtrack Album: Sound City: Real To Reel, Butch Vig (Compilation Producer)

Best Musical Theater Album: Kinky Boots, Cyndi Lauper

Best Americana Album: Old Yellow Moon, Emmylou Harris, Rodney Crowell

Best Folk Album: My Favorite Picuture of You, Guy Clark

Best Dance Recording: "Clarity," Zedd ft. Foxes

Best Dance/Electronica Album: Random Access Memories, Daft Punk

Best Comedy Album: Calm Down Gurrl, Kathy Griffin

Best Rap Performance: "Thift Shop," Macklemore & Ryan Lewis

Best Rap Song: "Thift Shop," Macklemore & Ryan Lewis

Best Rap Album: "The Heist," Macklemore & Ryan Lewis

Best R&B Performance:  "Something," Snarky Puppy With Lalah Hathaway

Best Traditional R&B Performance: "Please Come Home," Gary Clark Jr.



Best R&B Song: "Pusher Love Girl," Justin Timberlake

Best Urban Contemporary Album: Unapologetic, Rihanna

Best R&B Album: Girl on Fire, Alicia Keys

Best Blues Album: Get Up!, Ben Harper With Charlie Musselwhite

Best Music Film: Live Kisses, Paul McCartney

Best Country Duo/Group Performance: "From This Valley," The Civil Wars

Best Country Solo Performance: "Wagon Wheel," Darius Rucker

Best Country Song: "Merry Go Round," Shane McAnally, Kacey Musgraves & Josh Osborne

Best Rock Performance: "Radioactive," Imagine Dragons

Best Alternative Music Album: Modern Vampires of the City, Vampire Weekend

Producer of the Year, Non-Classical: Pharrell Williams

Best Metal Performance: "God Is Dead," Black Sabbath

Best Rock Album: Celebration Day, Led Zeppelin

TAZAMA PICHA ZA KWANZA ZA ALIEKUWA NYOTA WA ISIDINGO LETTIE MATABANE ALIVYOAGWA LEO LIVE...!!!!

$
0
0


Bra G...akiwa mwenye sura ya huzuni wakati wa ibada ya mazishi ya Lettie iliyofanyika Jumamosi, Jan 25 J'Burg Afrika Kusini

'Parsons' wa Isidingo akifuatlia kwa makini ibada ya mazishi ya Lettie. kwenye Isidingo alikuwa kama dada yake

..baadhi ya waombolezaji waliofurika kanisani wakati wa ibada.

Pichani juu na chini, Lettie Matabane enzi za uhai wake.


Lettie au Lesego Motsepe, alizikwa jana Jumamamosi kwa kuchomwa moto katika makaburi ya familia.
R.I.P


MKUU WA POLISI WILAYA (OCD) IRINGA APATA AJALI MBAYA, TAZAMA PICHA HAPA

$
0
0






Askari walilikuwa wakielekea katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM kata ya Nduli Iringa mjini wakitazama gari ambalo alikuwa akiendesha OCD Iringa lililopata ajali majira ya saa 10 jioni jumapili japo hakuna aliyepoteza maisha ktk ajali hii iliyotokea kona la Mgongo barabara ya Iringa-Dodoma








wasomi wa chuo kikuu cha Iringa wakitazama ajali hiyo ambayo dereva wake OCD Iringa alinusurika kifo na kuumia mkono wake kiasi

EXCLUSIVE: HUU NDO UKWELI KUHUSU PICHA YA DAVIDO NA MSICHANA ANAYESEMEKANI NI MBONGO WAIWA KITANDANI. SOMA HAPA

$
0
0
http://1.bp.blogspot.com/-dWyiLvGA68A/UnDxKasRrhI/AAAAAAAAesQ/Cc9k_LEJUmk/s1600/IMG_0115.JPGWiki hii yote kumekuepo na picha iliyosambaa mtandaoni ikimwonyesha msanii Davido akiwa kitandani na msichana anayesemekana ni mbongo. Ki ukweli mimi kama admin wa Bongoclan nimeiona katika Blog nyingi sana siwezi zikumbuka zote.

Baada ya kuiona picha hiyo nlijiuliza maswali mengi sana moja ni kujua kama kweli mdada huyo ni mbongo au watu wanazusha tu, hiki ndo kilichoandikwa katika moja ya blog zilizoandika story hiyo. "Msanii maarufu wa muziki wakizazi kipya ajulikane kwajina la davido tika nchini Nigeria anaetamba na kibao chake cha SKELEWU,hivi ndivyo alivyo pigwa picha na mwana dada huyu anaedaiwa kuwa mwigizajiwa bongo wakiwa katika pozi la mahaba alivyokuja Bongo."
 
Katika uchunguzi uliofanya na Bongoclantz.com umebaini kua story hiyo ni feki, na wala mdada yule si mbongo kama watu walivyozusha.  Ukweli kuhusu story hiyo ni kua mdada huyo ni raia wa Nigeria na story hii ilikua ni ya mwaka jana mwezi wa tatu. Unaweza soma baadhi ya story hizo kwa kubonyeza link zifuatazo LINK1, LINK2, LINK3 kama utazisoma vizuri na kutazama tarehe za story hizo utagundua kua story zote hizo ni za mwaka jana mwezi wa tatu.

Davido alivyotafutwa hiyo mwaka jana baada ya picha hizo kusambaa mtandaoni alisema kua hamjui na wala hajawahi kumwona mwanamke huyo na anashindwa kuelewa ilikuaje hadi akaingia katika chumba chake na jinsi picha hiyo ilivyosambaa. 

Skendo hii ya kusambaa kwa picha za Davido akiwa na mwanamke kitandani na picha kusambaa mtandaoni si ya mara ya kwanza kwani kuna mdada mwingine alishapiga picha na kuzisambaza mtandaoni. Picha hizo zilimwonyesha mdada huyo akiwa na Davido kitandani

BREAKING NEWS: MC-D WA TWANGA PEPETA AFARIKI DUNIA USIKU HUU.

$
0
0
mcdKama mfatiliaji wa muziki wa Dansi Tanzania,jina la Mc D si jina geni kwako,jina lake halisi ni Masoud Mohamed,ni mpiga tumba kutoka bendi ya African Stars Band’Twanga pepeta’ taarifa hizi zimetangazwa usiku huu na kuthibitishwa na msemaji wa Twanga pepeta Hassan Rehani .
Taarifa zaidi inasema kuwa Mc D alikua yukoMoshi kwa ajili ya matibabu zaidi ya miezi miwili na hali yake iliendelea vizuri hadi usiku huu wa January 27 hali yake ilipobadilika na kufariki dunia.
Wiki chache nyuma ilisemekana Mc D alikua akiendelea vizuri kwani hatua ngumu ya dozi ya kali ya kifua kikuuu alikua kashaivuka na sasa alikua amebadilishiwa dawa,aliongea kwa matumaini makubwa kuwa atarejea jukwaani muda si mrefu.
Miongoni mwa bendi alizozitumikia Mcd enzi ya uhai wake ni pamoja na Diamond Sound,Mashujaa Band na Twanga pepeta.

MZEE DUDE WA FUTUHI AMEFARIKI DUNIA JIONI HII KATIKA HOSPITAL YA BUGANDO MWANZA

$
0
0
Mzee Dude enzi za uhai wake.
MSANII wa kundi maarufu la vichekesho na uigizaji la Futuhi, Mzee Dude amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya Rufaa Bugando iliyopo jijini Mwanza leo jioni!
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN!:

DIAMOND AMFANYIA SHOPING YA NGUVU WEMA, NI ALIVYOKUA NCHINI KENYA. SOMA HAPA

$
0
0
Diamond Platinumz ambaye alikuwa na music show nchini Kenya juzi aliamua kumnunulia mpenzi wake Wema Sepetu zawadi za perfume na mazagazaga mengine ya urembo ikiwa ni ishara ya wapendanao. kupitia Instagram Wema aliandika....

Angalia picha hapo chini Diamond akimnunulia Wema zawadi huko Kenya........



BASI UNAAMBIWA DADA HUYU ALIKUA FUNIKO KATIKA SHOW YA DIAMOND NAIROBI, AJA NA STYLE MPYA YA KUCHEZA NGOLOLO. CHEKI HAPA

$
0
0

Akisikilizia mizuka impande


Kidogo kidogo.........



Hapo sasa.... ni ngololo tuu kwa style ya peke yake tu


NEW VIDEO...DAKA LOVEE - SINGLE BUTTON,DIRECTED BY BACKAMAZA

HAKIKA, MSANII H BABA ALIFANYA JAMBO LA BUSARA SANA KUANDIKA UJUMBE HUU, SOMA HAPA.

$
0
0


Kuna msemo wanasema hakuna kama mama, hiyo ni kweli kwani toka mtoto anazaliwa mpaka anakua hujifunza mambo mengi kutoka kwa mama. Msanii H Baba jana kupitia akaunti yake ya Instagram amefunguka mambo machache lakini ya muhimu sana kwetu sote.

Huu ndo ujumbe aliouandika msanii H Baba aliouambatanisha na picha hapo juu "Wazazi wanatakiwa kuheshimika sana ebu ona picha hii mama zetu wanavyopata taabu Leo umekuwa unamtukana mama ako# unamtia makofi #unampiga ngumi #unamfedhehesha Mbele za watu # Mzazi anatakiwa apewe heshima kubwa sana ebu tazama walivyopangwa apo wanavumilia mpaka wanajifungua Kwa taabu . #serikali tazameni hili viongozi tazameni hili #wasanii tazameni hili. #matajiri tazameni hili #hawa niwazazi wetu #eeh mungu nisaidie niwasaidie Kwa hicho utakachonipatia nakuniangazia nuru yako . Wasaidie wenye rohoyaimani wawepia mstari Wambele kusaidia ."

 Kama umesoma alichokiandika msanii H Baba utagundua ni ushauri wa muhimu sana hasa kwa siku za hivi karibuni kwan wakinamama wengi wanaishi maisha magumu. Team nzima ya Bongoclan inapenda kmpongeza msanii H Baba kwa  kutukumbusha kitu muhimu kama hicho na naamini mimi na wewe tukiamua kukifanyia kazi tutaweza kupunguza matatizo kwa kina mama kwa asilimia kubwa.

MSANII WA FUTUHI AZIKWA NA MAMIA YA WATU SIKU YA JANA, TAZAMA PICHA HAPA

$
0
0

Majuto Omary
Mwigizaji wa filamu Swahilihood Marehemu Majuto Omary enzi za Uhai wake.
MAMIA ya wakazi wa jiji la Mwanza wamejitokeza kumzika mwigizaji na mchekeshaji nyota kutoka kundi la Futuhi Mzee Majuto Omari ‘ DUDE ‘ msanii huyo amefariki Leo SAA kumi na moja na kuzikwa leo hii huko jijini Mwanza.

Majuto Omary
Wadau wa sanaa wakiombea dua mwili wa Mzee Omary Dude
Majuto Omary
Mzee dude
Omary Majuto
Watu wakimzika msanii huyo
Majuto Omary
Maandalizi ya kaburi la Mzee Dude
Majuto Omary
Enzi za uhai wake Mzee Omary
Ndugu na jamaa marafiki na wapenzi wa kundi la Futuhi walijitokeza kumzika msanii huyo nyota, ambaye alijizolea umaarufu kupitia kipindi cha vichekesho maarufu kama Futuhi kinachorusha vichekesho vyake kupitia kituo cha Televisheni cha Star tv cha jijini Mwanza, FC tunatoa Pole kwa wafiwa wote. MUNGU AIWEKE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI ‘ AMEN.
CREDIT : SWAHILI HOOD

HII NDIYO MAANA YA MSTARI WA "ZITTO AKILOGA KASULU SISI TUNAMLOGEA PANGANI" SOMA ALICHOFUNGUKA ROMA HAPA

$
0
0
 
Mara nyingi mistari mingi katika nyimbo za HipHop humfanya msikilizaji atumie akili nyingi sana ili kuelewa msanii alimaanisha nini katika wimbo huo. Mfano mzuri wa wasanii ambao ukisikiliza nyimbo zao kuna baadhi ya mistari lazma ufikiri sana hadi uje uielewe ni Roma Mkatoliki. Mfano wa mstari ambao uliwatoa jasho wengi ni "ZITTO AKILOGA KASULU SISI TUNAMLOGEA PANGANI"
 
Kupitia website yake Roma Mkatoliki ameelezea maana ya mstari huo kwani wengi walikua wakiutafsiri kwa maana tofauti kabisa. Na hiki ndo alichokisema Roma.
 
BANDARI CHANUU!! RAILWAY CHALII!! MAKAMBA IINUE KATANI/ ZITTO AKILOGA KASULU SISI TUNAMLOGEA PANGANI/ 
 Meanz- Miaka ya nyuma jiji letu la tanga lilikuwa ni miongoni mwa sehemu/mkoa ambao tanzania inajivunia kwa kujipatia pato kubwa kutokana na kilimo cha zao la katani!! 
 Ulikuwa ni mkoa ambao upo katika maendeleo na utajiri mkubwa kutokana na
 BANDARI NA RILWAY!! 
 Wagosi waliimbaga " 
RELWE KIMYAAA, 
 ZAMANI WENYEWE PALE TUSHAZOEA MIJIHONIII,
 SASA HIVI? BEHEWA MOJA LA ABIRIA HATULIONI, 
 MWAEKANI BASI MABEHEWA YALOOZANA PALE? 
 SI WAONDOE JAMA YAWEKA MAFICHO YA WEZI YALEEE EE 
TANGAA KUNANI PALEEE!!!?
 Hao ni wagosi wa kaya kaka mkoloni na dr john,
 waliimba hivo miaka ya nyuma, na hadi leo bado hivi vitu havipo ktk hadhi ya miaka ileee, 
ndomana nikasema bandari imeanguka CHANUU!!
 relwe imelala CHALII!! nikimaanisha vyote vimekufa na sio kama zamani!!
 hali hii imepelekea tanga imedoda(imeshuka kimaendeleo)!! 
 KATANI nayo ikaja ikashuka sana na sio kama zamani, 
 zao hili ndo lilitegemewa sana mkoani hapa kwetu tanga!!! 
 Sasa basi mh JANUARI MAKAMBA ndugu yetu kipenzi wa tanga, hongera kwa kasi yake ya kazi, aliyonayo , ni mfano wa kuigwa!! huwa akiliongelea sana hili la kuiinua TANGA,
 na hata kutia nguvu kwenye kilimo cha katani, kuiinua bandari na relwe pia na nyanja zingine!!
 So kupitia muziki wetu/wangu(HIP HOP)nafahamu sana kuwa muheshimiwa huyu ni mpenzi sana wa muziki, 
so nilijua kupitia muziki itamuhamasisha yeye na wananchi wa tanga na watu wengine wote kulitilia mkazo na kuwekeza nguvu zao ktk hili ili TANGA irudi kwenye kilele cha maendeleo bora!! Ndio maana ya MAKAMBA na watu wake waliomzunguka,(angeweza kuwepo yoyote anayehusika na huku, awe mbunge, 
meya hata mkuu wa mkoa!!maana maendeleo sio hayo yaliyotajwa tu!!)WAIINUE KATANI, RELWE, BANDARI na vyote vilivyotuzunguka ambavyo ni kama rasilimali kwa jiji letu TANGA!! Zitto akiloga kasulu sisi tunamlogea pangani!!
 zitto mh. mbunge wa kgm kaskaz!!! 
 ni mpiganaji/mchapa kazi/kiongozi mwenye uchu wa maendeleo ya taifa!!
 anafanya mengi kuyadhihirishaga haya!!
 Kasulu na pangani ni kama figure zinazowakilisha kigoma na tanga respectively!!!
 na mh zito naye ni miongoni mwa viongozi wanaopenda na kusapoti sana muziki wa kizazi kipya(na ndio muziki ninaoufanya mimi)tumeona lekadutigite ni movement nzuri na wengi tunatamani iigwe na viongozi wengine!! na hata kwa mh zitto tunaomba isiishie kigoma tu akiweza aiendeleze kwa wasanii wengine wa sehemu tofauti!! So nilijua kupitia muziki (HIP HOP) ambapo naye ni mpenzi wa muziki, 
basi itakuwa rahisi kulifikisha hili kwake na kwa wote!! amefanya maendeleo kigoma wameona na bado anaendelea kuwafanyia hayo!! Sasa neno kuloga limetumika kwasababu tumehusisha tanga na kigoma hapo!! na mnajua ni mikoa yenye umaarufu kwa mambo hayo toka enzi!!
 "lazima lingeleta usikivu na watu kuisogelea sauti hii" 
 Lakini TAFSIRI YA NENO HILO HAPO KULOGA NI = MAENDELEO!!
 MH ZITO AKIFANYA MAENDELEO KIGOMA NASISI KINA MAKAMBA TUKAMUONYESHE KUWA HATA SISI TWAWEZA KUWEKA LAMI SAFI HADI PANGANI!!
 NA MAENDELEO MENGINE KAMA HAYO!!!
LIMETUMIKA NENO KULOGA LIKIWA NI USANII WA KULETA UHUSIANO WA MIKOA HII INASIFIKA KWA HAYO MAMBO!!
 LAKINI Pia neno kuloga hutumika kama kitu kizuri sasa hivi na tunaelewana tu masela mfano
 "duh linex ngoma yake imewaloga wote" 
 haina maana kuwa kaloga kwa mganga!! la hasha!!
 ni msemo tu kuwa kafanya kilicho bora zaidi ya wenzie. 
 LEO IKISEMWA HIVI- MR NICE ATAWASHA MOTO LEO DAR LIVE!! 
 kwahiyo watu waje na zima moto kuwa atauwasha moto au? basi na police wamkamate kafanya kosa la kuwasha moto!! 
 AU ISEMWE - LEO JUMA NECHA KAFANYA SHOW YA KUFA MTU!!
 so necha afungwe maana kaua mtu? 
 BASI NI LUGHA TU HZI HUTUMIKA KISANII NA WAELEWA SANA WA MUZIKI WA HIP HOP WATAELEWA MAPEMA NA KWA WEPESI, 
WASIO WAELEWA NI MUDA WA KUPATA DARASA KWA ROMA!!
 SO BIG UP MH ZITO KABWE KWA KUISIMAMIA KIGOMA VIZURI MUNGU AKUBARIKI SANA NAFURAHIA UNACHOKIFANYA!! 
 BIG UP MH JAN.
 MAKAMBA KATIKA HARAKATI ZA KUISIMAMIA TANGA YETU MUNGU AKUSIMAMIE NAWEWE UTIMIZE NDOTO HIZI NJEMA!!
 LENGO NI KUWA IKIFIKA 2030 TANGA NA KIGOMA NA KOTE TANZANIA TUWE TUPO MBALI KIMAENDELEO.....
NA TUJE TUJIVUNIE KUWA HIP HOP ILISAIDIA KULETA UKOMBOZI WA MTOTO, 
KIJANA HADI MZEE TANZANIA YETU. HIP HOP(MOVEMENT) Roooomaaaaaa!!!!!

BAADA YA RAFIKI WA WEMA KUMPINDUA WEMA KWA BWANA WAKE, SINTAH AMCHANA NAIMA KWA KUPENDA VYA BURE.

$
0
0
yaani ndipo nina amini wanawake
mwalimu wetu ni kipofu
upo na mwanaume less than 2 months
 unajichora hivi

Naima aliechukua nafasi ya madam

Kila siku nasema bora marafiki zangu wawe mapaka na mambwa, sasa so called kigogo wa madam amekaa hapo juu sasa, sasa huyu dada jamani daah yaani mtu umemjua hata miezi miwili bado umeshajisexisha kiasi hiki na kuchora tattoo, kweli wanawake tunajishangaza wenyewe, sasa yeye anaona anamkomoa mwenzie haaa jamani hii Tanzania kuna vibweka kila kukicha

Ladies, usione mwanamme alikuwa ana muhonga msichana mwenzio ukajua na wewe itakuwa hivyo, kumbuka kila mtu na bahati yake yeye ameitwa Wema na wewe unaitwa Naima

I do the seeking n you do the judging....

LG YAZINDUA TV AINA YA OLED NCHINI TANZANIA

$
0
0
Mkurugeni wa Kampuni ya Garnet Star ambao ni wasambazaji wa bidhaa za LG, Tanzania, Rajesh Kumar (kulia) na Meneja Masoko wa LG, Shakti Vellu (kulia) wakisaidia kuzindua TV ya kwanza ulimwenguni aina ya OLED ambayo ndiyo imeingia katika soko ya nchini Tanzania. Uzinduzi huo ulifanyika katika duka lao lililoko Quality Center jijini Dar es Salaam.
Bw. Valerian Banda ambaye ni msemaji wa Kampuni ya Garnet Star ambao ni wasambazaji wa vifaa vya LG akiongea kuelezea TV ya kwanza ulimwenguni aina ya OLED ambayo ndiyo imeingia katika soko ya nchini Tanzania.
Bw. Valerian Banda ambaye ni msemaji wa Kampuni ya Garnet Star akionyesha remote inayotumia sauti katika uendeshaji.
Wageni pamoja na wanahabari wakifuatilia uzinduzi huo.
Mkurugeni wa Kampuni ya Garnet Star ambao ni wasambazaji wa bidhaa za LG, Tanzania, Rajesh Kumar  (Kushoto) akieleza machache wakati wa uzinduzi huo.
Mmoja ya wafanyakazi wa Garnet Star akionyesha jinsi TV ambayo unaweza kuitumia kwa matumizi mengine kama ya internet.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Garnet Star ambao ni wasambaji vifaa ya LG wakishow love.
Ubora wa Tv hii unaweza kufanya kambo mawili kwa wakati mmoja yani huku unaangalia TV na kutumia internet.
Mkurugeni wa Kampuni ya Garnet Star ambao ni wasambazaji wa bidhaa za LG, Tanzania, Rajesh Kumar (kulia) na Meneja Masoko wa LG, Shakti Vellu (kushoto) wakisaidia kuzindua TV ya kwanza ulimwenguni aina ya OLED ambayo ndiyo imeingia katika soko ya nchini Tanzania. Uzinduzi huo ulifanyika katika duka lao lililoko Quality Center jijini Dar es Salaam.
LG imezindua TV ya kwanza ulimwenguni aina ya OLED ambayo ndiyo imeingia katika soko ya nchini Tanzania, TV aina ya OLED inayojikunja ni mwanzo wa burudani ndani ya nyumba. Aina yake ya kujikunja ambayo inaitwa IMAX inatupa uzoefu wa hali ya juu pamoja na kuangalia kwa starehe kubwa.

TV hii mpya aina ya OLED kutoka LG ikiwa na teknolojia ya rangi nne, ambayo kwa mujibu wa kampuni inaongeza pikseli nyeupe kwa rangi nyekundu, kijani na blu kwa mtazamo bora. Itakuwa na screen nyembamba aina ya OLED ambayo ukubwa wake ni 4.3mm. Pamoja na stendi yake ambayo ina vipimo ifuatavyo 1227x799x192mm na uzito wa kilo 17.2.

TV aina ya OLED LG namba 55EA9800 inakuja na idadi ya chaguo ya kuunganisha ambayo ni HDMI port (x4), port ya kusikiliza muziki ( 3.5mm), RF, AV ( composite), port ya muziki, USB 2.0 (x2), USB 3.0 na LAN port.”

TV hii pia ina kitako ambacho ni wazi kama kioo ambacho TV huwa haionekani kama imeungana nacho na TV huonekana kama inaning’inia hewani. Pia TV hii imewezeshwa kuwa na muonekano wa spika tano kwenye kitako chenye LG 55EA9800 zenye uwezo waku toa sauti ya watti 40.

Bwana Rajesh Darji, wa Garnet Star Ltd Distributor wa LG Home Entertainment Products amesema“ Hii TV aina ya OLED inapatikana katika maduka makubwa ya LG na wakala wake.

HABARI MBAYA KWA WALE WAZEE WA KUCOPY NA KUPASTE, MA BLOGGER MSOME HAPA

$
0
0


Najua kua yaweza kua masikitiko kwa wengi lakini naamini itakua ni furaha kwangu, nimeamua kuandika haya si kwa sababu sicopy story kwa watu wengine bali kutokana na maudhi ninayoyapa kila siku kutoka kwa Blogger wenzangu wasio kua na busara.

Ni ukweli usiofichika kua hakuna Blogger hata mmoja hapa Bongo asiyecopy story, najua unaweza ukabisha lakini sisi ma Blogger tunajua hilo. Kinachouma ni kua mtu nakesha usiku na kuandika story halafu mjinga mablogger wengine wanasubiri njiandike kisha wacopy na waondoe credit zangu au wakicopy hawaweki credit kwamba story hii nimetoa Bongoclan.

Utakuta mtu nimepost  story hata dakika 2 hazijaisha mtu kaisha icopy kaweka kwake na kaanza kushare story yangu katika groups zote. Hii inaniumiza mimi kwani nimetumia mda mwingi kuandika story hiyo na nikija kuweka story yangu kwa page au kushare inakosa wasomaji kisa wajinga wachache tu.

Kuna mablogger wengine ndo wajinga zaidi, utakuta nimeandika story na katikati ya story may b nimeandika msanii flani aliiambia Bongoclan ....... yeye akicopy anafuta neno Bongoclan anaweka jina la blog yake mfano msanii flani aliiambia Uongo Blog.... Hawa wanaboa sana na ndo target yangu kubwa kwa huu mpango mahususi niliouandaa kuwakomesha.


NTAWAKOMESHAJE
Baada ya kupata hizo shida hapo juu nikaamua kutafuta mpango kabambe wa kukomesha ujinga huo, kuna njia 3 ambazo ntazitumia nazo ni kama ifuatavyo.

1. Adsense
Najua mablogger wengi sana kwa sasa wana adsense na wengi wao hupagawa wanapopata adsense jambo linalowafanya wapost story nyingi na karibu asilimia zote za story zao ni za kucopy bila kuweka credit au kuondoa credit. Sasa ntachofanya ni kuwafungia akaunti zao kwani nimegundua njia moja nzuri sana ya kufanya akaunti zao zifungiwe ndani ya siku 3 tu. Imagine umecopy story yangu na una vieuro vyako 70 halafu naifunga akaunti yako kisa kucopy story yangu tu na kuondoa credit au kutoweka kabisa, najua utapata hasira. Ukipata hasira ndo furaha yangu kwani hukutaka kuthamini kazi yangu. Nimeshaifanyia majaribio kwa blog zaidi ya 5 na imeonyesha mafanikio makubwa ( Nisingependa kuzitaja blog hizo)

2. Report blog
Hii njia japo inachukua wiki moja hadi kuonyesha mafanikio lakini kwangu naiona ni njia bora kwani tofauti ya njia ya kwanza na hii ni kua Blog ya yule anayecopy inafutwa kabisa katika server za google. Imagine una watembeleaji wako 800,000 halafu naireport blog yako inafungwa inakua imekula kwako so utakua umepoteza nguvu nyingi na pesa nyingi kuendesha blog ambayo  so utaanza moja.

3. Siri yangu
Hapa inabidi nicheke kidogo maana hii njia ni komesha ya hizo 2 za juu nikiona mtu kazidi sanaaaaaa ndo ntatumia njia hiii.
Viewing all 3623 articles
Browse latest View live