Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

KWELI SASA BONGO MOVIE INAENDA KIMATAIFA ZAIDI, KWA HILI WANAHITAJI HONGERA.

$
0
0


KAMPUNI inayokuja kwa kasi katika tasnia ya Filamu hapa nchini ''ZEST FILM PRODUCTION'' Imefanikiwa kuwatengeneza baadhi ya wasanii wa Tanzania kuwa wa kimataifa kama walivyofanya kwa msanii ''Hemedi Suleimani'' kwa kumshirikisha kwenye filamu inayokwenda kwa jina la ''VAGABOND'' ambayo imeingia kwenyetuzo za AFRICA,

Hio ni kwa mujibu wa mkurugenzi wa kampuni hio Bwana Mussa Muzziba alivyohojiwa na website  ya masainyotambofu.com



Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles