KWELI SASA BONGO MOVIE INAENDA KIMATAIFA ZAIDI, KWA HILI WANAHITAJI HONGERA.
KAMPUNI inayokuja kwa kasi katika tasnia ya Filamu hapa nchini ''ZEST FILM PRODUCTION'' Imefanikiwa kuwatengeneza baadhi ya wasanii wa Tanzania kuwa wa kimataifa kama walivyofanya kwa msanii ''Hemedi...
View ArticleSHILOLE APATA BAHATI TENA YA KWENDA KUPIGA SHOW UINGEREZA, SAFARI HII WAPO NA...
PICHA KWA HISANI YA JESTINA GEORGE BLOG
View ArticleEXCLUSIVE INTERVIEW NA PRODUCER ALIYETENGENEZA NASOMESHA BURE, DISS TRACK KWA...
Kama tulivyowahaidi siku chache zilizopita kua tutawaletea mahojiano tuliyofanya na Producer wa ngoma ya Nasomesha bure ambayo mtunzi na mchanaji wake alikua Trubadour. Katika ngoma hiyo Trubadour...
View ArticleKAMA MBWAI MBWAI TU,RAGE ASEMA ATAITISHA MKUTANO WA UCHAGUZI WACHAGULIWE...
mwenyekiti wa klabu ya Simba Mh Ismail Aden Rage amesema kwamba hali ya amani ikishindana kutuliza ndani ya klabu ya Simba anatarajiwa kuitisha mkutano mkuu wa uchaguzi wa viongozi wote haraka...
View ArticleHII NDIYO A-Z YA TAMASHA LA GURUMO, LILIFANA SANA LAKINI MAJANGA...
KIBURUDANI na kimahudhurio Tamasha la Gurumo 53 lililofanyika Jumamosi TCC Club lilifana sana, lakini likazungukwa na majaribu mengi yaliyotia doa.Waliokuwa wakihisi kuwa itakuwa ni burudani mwanzo...
View ArticleKIMENUKA, WABUNGE WALIOKWEPA SAFARI WATAKIWA KUREJESHA POSHO
Dodoma.Sakata la wabunge waliochukua posho kwa ajili ya safari za mafunzo nje ya nchi na kuacha kusafiri, limeingia hatua mpya baada ya Spika wa Bunge, Anne Makinda kuwataka wazirudishe. Katika orodha...
View ArticleSOMA NA TAZAMA PICHA ZA MAKAHABA WA KENYA WALIVYOFANYA MAANDAMANO KUITAKA...
Makahaba mjini Nairobi Kenya waliungana na wenzao duniani kuadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga unyanyasaji dhidi yao. Waliandamana Jumanne kulalamikia kile wanachosema ni unyanyasaji wanaofanyiwa...
View ArticleDOKTA APOKEA KIPIGO KIKALI, KISA? KAWEKA POZI KAMA MUISLAMU... SOMA MKASA...
KUSHOTO: Waislamu wakiwa katika sala. KULIA: Dk Masood Ahmad. Daktari wa Uingereza mwenye umri wa miaka 72 amefungwa jela nchini Pakistani kwa 'kuweka pozi kama Muislamu' baada ya wanaume wawili...
View ArticleJOKATE KWELI MTAFUTA HELA, AAMUA KUJA NA KIDOTI CLUB. SOMA HAPA KUJUA ZAIDI...
Miss Tanzania namba mbili mwaka 2006,Jokate Mwegelo akizungumza na baadhi ya Wanahabari (hawapo pichani) kutoka vyombo mbalimbali mapema leo Mikocheni jijini Dar kuhusiana na uzinduzi wa klabu yake...
View ArticleDAR EXPRESS LAPINDUKA DEREVA NA KONDA WANUSURIKA KIFO MAENEO YA KIJIJI CHA...
BASI lenye namba ya usajili T848 ASZ lilipinduka baada ya kuacha barabara na kuingia vichakani wakati lilipokuwa likivutwa baada ya kuharibika, Ajali hii ilitokea katika kijiji chaManga Mkoani Tanga...
View Article"ARINE PAUL" SOKO LA FILAMU ZA KIBONGO LIMETAWALIWA NA MOVIE ZA MAPENZI...
Muigizaji wa filamu, Irene Paul amesema filamu nyingi za Kibongo zimetawaliwa na mapenzi ambazo yeye amezipa jina ‘movie za kwenye makochi’.Akiongea na Bongo5, Irene amesema hali hiyo imemfanya...
View ArticleWASANII WA NIGERIA BANKY W na TIWA SAVAGE WAAZISHA TV TALK SHOW YAO ‘The...
Unapozungumzia wasanii wakubwa na wanaoheshimika katika kiwanda cha muziki cha Nigeria na Afrika, majina ya mwimbaji wa ‘Yes/No’ Banky W na staa mrembo aliyekuwa bibi harusi hivi karibuni, hit maker wa...
View ArticleMOJA YA WASANII WAREMBO ZAIDI TANZANIA BATULI Vs SKYNER ALI - NANI...
Yobnesh Yussuph aka Batulli na Skyner Ali ni waigizaji warembo wa filamu nchini. Kuna vingi wanavyofanana kuanzia wote kuwa mama watoto na vitu vingine. Kwakuwa ‘selfie’ na Instagram ndio habari ya...
View ArticleCHEKI HAPA MAANDALIZI YA VIDEO MPYA YA CHEGE "CHAPA NYINGINE" DIAMOND, MADEE...
Hizi ni baadhi tu za picha zikiwaonyesha wasanii waliojitokeza kumuunga mkono msanii mwenzao Chege wakati akishoot video yake mpya “CHAPA NYINGINE” maeneo fulani ya pande za Dar es Salaam na Dir...
View ArticleBELLE 9 KUFANYA COLLABO NA MSANII KUTOKA KENYA "WYRE" ......SOMA ZAIDI HAPA!
Hitmaker wa Masogange, Belle 9 amesema baada ya kufunga mwaka na wimbo wa ‘Wanitaka’ kinachofuata ni kolabo na msanii wa Kenya Wyre ili kufungua mwaka 2014.Belle 9 na Kevin Wyre.Belle,amesema muziki wa...
View ArticleNELSON MANDELA Vs PAUL WALKER WAONGOZA KUTAFUTWA SANA KWENYE...
Kwenye list ambayo imetolowa na google ni kwamba Nelson Mandela ameshika nafasi ya kwanza kwa kutafutwa mara nyingi kwenye google kushinda vitu vingine vyote ulimwenguni. Nafasi ya pili imeshikiliwa na...
View ArticleDUH!! TWEET MOJA TU YAMPONZA SAMWEL ETO'O HUKO TWITTER...WATU WAMSHAMBULIA...
Mashabiki wa Chelsea wanamrushia matusi pamoja na maneno ya kebehi striker Samuel Eto’0 baada ya kupost picha ambayo sio kawaida kwa mchezaji ku-tweet pale timu yake inapokua imepata matokeo mabaya...
View Article